Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

Jamani hakuna engine hata Moja ya mradi iliyopokelewa! Hizo safari zitaanzaje? Hata engine zikija Leo, pamoja na mabehewa yaliyopo ambayo yalileta mzozo yalipopokelewa, sidhani kama kweli testing itafanyika halafu mradi uanze mwezi ujao. Hii Haiwezekani!
 
SGR itaanza kazi rasmi 2024-2025 huku pengine twapigiana story tu, itahitaji umeme constant kuendesha.
Kwa sasa hatuna umeme huo, wakiwasha treni lazima mgao utokee sehemu zingine, vinginevyo wasubiri hadi Bwawa likamilike

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umeme SI tatizo, maana Hizo engine pia zaweza tumia diesel. Tatizo ni kwamba hazijapokelewa!
 
Back
Top Bottom