Danadana majaribio treni ya SGR Dar - Moro

Au
Au na kwenyewe kuna subiri zile "special cranes kubwa".labda hizi zitakuwa cranes za kunyanyulia vichwa vizito vya tren.
 
Haa
Ametuvuruga Sana Huyu
 
@yoga kasema Hadi BT Apewe chake.
Ila BT utakufa kifo kibaya sanaa
 
Zile gauge zimepata kutu aisee hata hazijaanza kutumika

Pale kihonda Moro Ile station imepigwa vumbi kweli hadi inaanza kuchakaa kabla hata haijaanza kutumika

Usikute na nyasi zimeanza kuota kati ya reli

Madaraja makubwa yameshapigwa machata kule chini na wahuni wameyageuza vijiwe vya bangi na maeno kukabia pita usiku uone.

Duuuh hatari
 
Hivi mkuu "white elephant" huwa ina maana gani?
Nimeona mara kadhaa likitumiwa bila kujua maana yake.
Google naletewa majibu ya kimalkia ambacho sikijui.

Au ina maana kuna upigaji? (muda wote nahisi ina maana hiyo)
Hapana !ni kama bdadolite vile,;
 
afu waje wakosee waje na bei za kuchangamka sana kwa kiwango kikubwa kuzidi mabasi.

Itakuwa imekula kwao
 
SGR itaanza kazi rasmi 2024-2025 huku pengine twapigiana story tu, itahitaji umeme constant kuendesha.
Kwa sasa hatuna umeme huo, wakiwasha treni lazima mgao utokee sehemu zingine, vinginevyo wasubiri hadi Bwawa likamilike

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…