KERO Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
SGR na Stiglers ni White elephants
Na hicho ndicho mnataka kitokee..."mtamezwa wabichi" ohoo.!!

Mradi ili uweze kuhitimu kuwa white elephant lazima ukamilike kwa viwango vinavyotakiwa kisha Mradi huo ushindwe kupata wateja wa huduma yake hiyo.

Kamilisheni miradi hiyo bila hujuma yoyote ya kuiba sementi na nondo kwa viwango vinavyotakiwa na ianze kutoa huduma kisha tuone Wanaohitaji hiyo huduma kama wataisusa.
 
Vision and mission holder wa ujenzi wa SGR amekufa na Hilo lilitegemewa sana kutokea

Ule wasiwasi wa Watanzania juu ya mwendelezo wa miradi aliyoianzisha kwa momentum kubwa na ujasiri wa ajabu mategemeo yetu baada ya kufa kwake ni kukosekana kwa maajabu hasa baada ya mbeba mamlaka kukiri mwenyewe kuwa viatu ni oversized kwake.

Kuingiliwa na wezi ndani ya msafara ambao hawawezi kuhusu nalo linachangia haya yanayoendelea maana ukitaka kujua mradi huu ulimuhitaji sana JPM ili ukamilike angalia gharama za vipande walivyosaini wahuni ikoje. Almost double the cost ambazo JPM aliziacha.

Sasa basi ili kuprove kuwa they are right to their double cost wamemamua kumkwamisha mkandarasi na mpaka tunahofia ataondoka ili watu wafanye waliyazoea.

Tumwombee Sara Rais Samia Mungu aendelee kumjalia kupata wasaidizi wenye MWANGA na Nia ya kweli ya kuongoza nchi ifike mahala inatakiwa kuwa. Tumeshihudia MWANGA huo siku za karibuni na tumeanza kupata matumaini SAsa kwamba mambo huenda yatabadilika tofauti na miaka hii miwili ambayo wanyang'anyi wamekuwa wakijifanyia wanavyotaka.
 
Wanangoja bwawa la Mwalimu Nyerere likamilike upatikane umeme usio wa jenerata ya Maharage yenye Makambakamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…