O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Jul 14, 2013 #1 hakuna jkt kwa awamu ya tatu(3) ila tangazo lililokuwepo kwenye web ya jkt ni la kuwapa moyo walioenda jkt awamu ya pili kuamini kuwa wote tutaenda lakini kiukweli hakuna awamu ya 3 kwaiyo chuo mwezi wa 10
hakuna jkt kwa awamu ya tatu(3) ila tangazo lililokuwepo kwenye web ya jkt ni la kuwapa moyo walioenda jkt awamu ya pili kuamini kuwa wote tutaenda lakini kiukweli hakuna awamu ya 3 kwaiyo chuo mwezi wa 10
T Thema JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 301 Reaction score 64 Jul 14, 2013 #2 Hata mi nadhani itakuwa hivyo.