hakuna jkt kwa awamu ya tatu(3) ila tangazo lililokuwepo kwenye web ya jkt ni la kuwapa moyo walioenda jkt awamu ya pili kuamini kuwa wote tutaenda lakini kiukweli hakuna awamu ya 3 kwaiyo chuo mwezi wa 10
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.