Dangote akanusha taarifa za kifo chake

Status
Not open for further replies.

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Mtandao mmoja huko Ujerumani umeripoti kuwa bilionea namba moja Afrika Aliko Dangote amefariki ghafla kwa kuugua kwa muda mfupi


Hata hivyo bilionea huyo alikanusha madai hayo kupitia Twitter na kusema yeye yupo salama salmini na yupo S.Africa akifanya mambo yake








 
we jamaa msenge sana uandishi gani wa kipumbavu huo manina zako kabisa.
 
Ile sheria ya mtandao iliundwa kwa wazushi kama nyie
 
Kama mleta mada ana knowledge ya media hata kwa 1% angejua kuwa hiyo site iliyobandika habari hii ni fake!
 
huu ni umbea wa kiwango cha PHD yaaani kakanusha bado unaleta humu.ili iweje sasa.
 
Boyaaa kabisa wew...mtu kakanusha afu bado unasema hatupo nae duniani ili iwaje sasa kima wew futaaa kiuzi chako hichi
 
Boyaaa kabisa wew...mtu kakanusha afu bado unasema hatupo nae duniani ili iwaje sasa kima wew futaaa kiuzi chako hichi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
mkuu kwani kulikuwa na ulazima wowote kuuleta taarifa hapa, nauliza tu.
 
NDO ILE WANASEMAGA......"NAKANUSHA KUKANUSHA".
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…