Dangote akanusha taarifa za kifo chake

Status
Not open for further replies.
We jamaa uandishi kama huu ni kichefu chefu. Nyinyi ndo mnaosubiri vifo vya watu mjiimarishie umaarufu wa kijinga.
 
Yeye dangote ameshakanusha iweje we w upost tena?take care Mr.
 
Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao
Yaani "FOGO" anazushiwa kafa, halafu anakanushia kwenye tweeter?

Yaani kwa wingi wa pesa zake na ukubwa wa uvumi huu ukijumlisha na ubaya wa kifo kisivyo na huruma!!
Nilitarajia Press conference ya "nguvu"
ili kuwatoa hofu partners wake wa kibiashara.

Silazimishi awe amekufa, naamini kanusho limekuwa simple mno, yaani kimstari kimoja!!!
 
Yap una maono kama yangu wewe ni greatest thinker [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao
Yaani "FOGO" anazushiwa kafa, halafu anakanushia kwenye tweeter?

Yaani kwa wingi wa pesa zake na ukubwa wa uvumi huu ukijumlisha na ubaya wa kifo kisivyo na huruma!!
Nilitarajia Press conference ya "nguvu"
ili kuwatoa hofu partners wake wa kibiashara.

Silazimishi awe amekufa, naamini kanusho limekuwa simple mno, yaani kimstari kimoja!!!
 
Unabusara ila tatizo lako ni mbea
Anhaa kumbe tatizo ndio hilo basi jibu lake simple tu ,ngoja nikupe mfano, hivi hujawahi kuona mtu anafanya biashara ya kuuza chipsi lakini yeye hali hizo chipsi badala yake atanunua ugali na vikolombwezo vingine? basi ndio kama mimi , mimi si mbeya bali naleta uzi wa mambo ya watu maarufu kwa kuwa ndio habari zinazo pendwa na watz wengi
 
Zinazopendwa na watanzania au zinazopendwa na wambea wa tanzania? Sikulaumu kufanya kazi kwenye magazeti ya udaku ndio sababu.
 
Zinazopendwa na watanzania au zinazopendwa na wambea wa tanzania? Sikulaumu kufanya kazi kwenye magazeti ya udaku ndio sababu.
hata wewe pia unazipenda ndio maana tunakuona humu,jiulize kwa nini mtu kama faiza foxy, motochini,rakims, mtu mzito, frank wanjiru ,mzizi mkavu ,hawaonekani humu ,jibu ni kuwa hawapendi nyuzi kama hizi

Sasa inashangaza kusema hupendi nyuzi kama hizi mimi huwa nakuona mnafki tu na kwa sisi waislamu huwa tunamtambua haraka mnafki kwa alama tu muhimu(aya munafikuna thalatha )
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…