Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoa mada hana tofauti na LIPUMBA wote vichwa majiSasa unajua mwenyewe amekanusha kuna haja gani kusambaza hizo taarifa za uongo?
Poamtoa mada hana tofauti na LIPUMBA wote vichwa maji
Yaani "FOGO" anazushiwa kafa, halafu anakanushia kwenye tweeter?Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao
Yap una maono kama yangu wewe ni greatest thinker [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Yaani "FOGO" anazushiwa kafa, halafu anakanushia kwenye tweeter?
Yaani kwa wingi wa pesa zake na ukubwa wa uvumi huu ukijumlisha na ubaya wa kifo kisivyo na huruma!!
Nilitarajia Press conference ya "nguvu"
ili kuwatoa hofu partners wake wa kibiashara.
Silazimishi awe amekufa, naamini kanusho limekuwa simple mno, yaani kimstari kimoja!!!
Kuna siku tutakupigia makofi na wewe.Shukrani [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Yaani "FOGO" anazushiwa kafa, halafu anakanushia kwenye tweeter?Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao
Shukrani [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ndio nani tena huyu mkuu?Wakati unaandika ulikuwa unamuwaza huyu demu!![]()
Anhaa kumbe tatizo ndio hilo basi jibu lake simple tu ,ngoja nikupe mfano, hivi hujawahi kuona mtu anafanya biashara ya kuuza chipsi lakini yeye hali hizo chipsi badala yake atanunua ugali na vikolombwezo vingine? basi ndio kama mimi , mimi si mbeya bali naleta uzi wa mambo ya watu maarufu kwa kuwa ndio habari zinazo pendwa na watz wengiUnabusara ila tatizo lako ni mbea
Anhaa kumbe tatizo ndio hilo basi jibu lake simple tu ,ngoja nikupe mfano, hivi hujawahi kuona mtu anafanya biashara ya kuuza chipsi lakini yeye hali hizo chipsi badala yake atanunua ugali na vikolombwezo vingine? basi ndio kama mimi , mimi si mbeya bali naleta uzi wa mambo ya watu maarufu kwa kuwa ndio habari zinazo pendwa na watz wengi
hata wewe pia unazipenda ndio maana tunakuona humu,jiulize kwa nini mtu kama faiza foxy, motochini,rakims, mtu mzito, frank wanjiru ,mzizi mkavu ,hawaonekani humu ,jibu ni kuwa hawapendi nyuzi kama hiziZinazopendwa na watanzania au zinazopendwa na wambea wa tanzania? Sikulaumu kufanya kazi kwenye magazeti ya udaku ndio sababu.