DANGOTE ANATUMWA NA CHADEMA

DANGOTE ANATUMWA NA CHADEMA

Wakuu

tupambane na dangote anatumiwa na CHADEMA wazalendo wenzangu tusikubali nchi kuhujumiwa na hawa wasio na uzalendo

Subscribe to read

kwanini alisumbue buldoza letu, aache uchadema, kupinga kila kitu

not to that extent
kuwen makin na link mtu/ bwege anaweka inakuambia subscribe au vinginevyo. Inakua yuko kwa ajili ya kudukua na atakufahamu wewe ni nani..
 
Hivi nyie watu kwa nini hampendi kuambiwa ukweli kila anayewaambia ukweli mnamuona mchochezi kwenu mnataka kusifiwa tuuu hata kama vya uongo ukimaliza kachukue buku 7 yako

tumia akili, mbishiiiiiiii
 
Ye ni tajiri no.1 africa mnamfanya haoni mambo?
 
Unasema Chadema ndo wamemtuma Dangote?
Mmmm ngoja nikaangalie ndondo kitaani labda ntakutana na wazalendo wenzangu

Kwani chadema ni wawekezaji
 
Wakuu

tupambane na dangote anatumiwa na CHADEMA wazalendo wenzangu tusikubali nchi kuhujumiwa na hawa wasio na uzalendo

Subscribe to read

kwanini alisumbue buldoza letu, aache uchadema, kupinga kila kitu

not to that extent
ndoto nyingine hazihitaji usingizi
hata wa chadema wenyewe watashangaa
 
Tulia ulete habari inayoeleweka. Ulichoandika hakieleweki. Huyu muwekezaji na purukushani za kisiasa ndani ya nchi yetu vina uhusiano gani?
 
Siku si nyingi tutasikia kiwanda cha Dangote akifanyi kazi, maana ashamchokonoa mkuu
 
Endelea kupambana na dangote.huku mtaani cement 12,000.wanao umia ni wananchi.
 
Yani kwa shida zipi za Dangote hadi akubali kua mtumwa wa CHADEMA?? tuacheni masikharaaaa kbsaaaa
 
Kama ni kweli ulichoandika kimetoka moyoni basi wapumbavu ni wengi sana akiwemo wewe mleta mada
 
Wakuu

tupambane na dangote anatumiwa na CHADEMA wazalendo wenzangu tusikubali nchi kuhujumiwa na hawa wasio na uzalendo

Subscribe to read

kwanini alisumbue buldoza letu, aache uchadema, kupinga kila kitu

not to that extent
kweli chadema cha dume Tanzania kila siku hili li jike ccm mnalialia tu humu,mjiulize ni wapi mliko jikwaa
 
Back
Top Bottom