Huo utafiti unaotaka tufanye ndipo tutoe hitimisho tutaufanyia wapi ikiwa Waziri ambaye ndiye ana dhamana na. 1 juu viwanda anatuambia "jana liwaficha/niliwadanganya". Tuwe wakweli hili jambo tunalishughulikia kwa kutumia upeo mdogo sana. Tuliwauliza kwanini kina Bakhresa, Azania wananunua ngano kutoka Canada kwanini yeye mumzuie kununua huko? Mimi naamini yeye si mjinga, mkiyafanya makaa yetu kuwa bora na nafuu kwa siku za usoni hataagiza South badala yake atanunua wapi kwenye unafuu.