ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
hii serikali ni tajiri,akwende huko na visenti vyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
***hii serikali ni tajiri,akwende huko na visenti vyake
Tatizo siyo uwongo wa waziri bali ni tabia ambazo corporates nyingi duniani hufanya hivyo[hata dangote] hawapendi mikataba yao iwe dhahiri kwani kibiashara inakuwa siyo sahihi kwa washindani wako kujua kunani kwenye mkataba wako.Huo utafiti unaotaka tufanye ndipo tutoe hitimisho tutaufanyia wapi ikiwa Waziri ambaye ndiye ana dhamana na. 1 juu viwanda anatuambia "jana liwaficha/niliwadanganya". Tuwe wakweli hili jambo tunalishughulikia kwa kutumia upeo mdogo sana. Tuliwauliza kwanini kina Bakhresa, Azania wananunua ngano kutoka Canada kwanini yeye mumzuie kununua huko? Mimi naamini yeye si mjinga, mkiyafanya makaa yetu kuwa bora na nafuu kwa siku za usoni hataagiza South badala yake atanunua wapi kwenye unafuu.