Tuna viwanda karibu kila mkoa walivyoanziasha Wamaa wetu wanaopasua kokote! TANZANIA YA VIWANDA
Kama alivyosema magufuliKuna viwanda vya kufyatua watoto endeleeni navyo
Hivi kuna sehemu dangote alisema apewe gas/umeme bure? Unaweza ukaniambia kwanini hajapewa ile gasi hadi leo?Aende tu, haiingii akilini makaa ya mawe yapo aagize nje, gypsum ipo a agize nje, pia anataka gas bure ili yeye aendee kutajirika nasi tuendelee kuwa masikini, hata leo aondoke tu
Ni shida!!Ona akili zetu hizi
aende tu raia hawapati maslahiMwache aende tu
Kwani kwa akili zako wewe unafikiri hicho kiwanda atakibeba? Anaweza kukiuza au hata kumgawia mtu tu as a gesture of.goodwill. Kwa Dangote hiyo investmet hapo ni sawa na DART bus moja. Hatoondoa kiwanda kwa sababu ya kuifikiria jamii na sio tumbo lake unlike you the lot. Mind you, serikali ikitaka isitake itafata anavyotaka. Wealthy comes with powerDangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
Ukanda wa kusini ni nchi ya watu mkuu so dangate lazma kule vikwazo vitakuwa vingi na atakuja kuondoka huko mwenyewe ni suala tu la mdaSerikali hipo nyuma ya msauzi afrika kuujumu dangote kwa sababu msauzi ndiyo anamiliki viwanda vya saruji nchini hivyo ujio wa dangote ulikuwa tatizo kwao
Kweli nyani haoni kundule.Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.
Unaweza ukawa unajua kiingereza Ila ukakosa kuelewa dhana ya mada husika.Hivi Ninyi Mambulula mnajua kiingereza kweli?
Ni wapi Dangote kasema Anafunga Kiwanda Tanzania na kukihamishia Kenya?
Mbona mnaruka - ruka kama kuku anayetaka kutaga? wewe umeona hapo juu kuwa anafunga hiki cha Tanzania?
Dangote ana akili zaidi yenu, unadhani yeye hajui mchezo ulivyo? kwa Taarifa yenu Dangote anajua namna washindani wake wanavyohangaika usiku na mchana ili awe frustrated na kuondoka nchini ili awaachie soko la saruji maana wanamuona kama kawazibia zibia hivi, hivo msidhani kuwa huyo Dangote ni mtoto mdogo anajua kila kitu na hawezi kufanya kosa hilo kamwe la kuondoka nchini.
Hivi ni kwamba wanamlazimisha anunue makaa ya kiwira au vipi?Watucheke mara ngapi Mkuu, dalili za mvua ni mawingu ndiyo dalili za kusepa kwa Dangote badala ya kuendelea kujibizana na hawa wenye maigizo yasiyokwisha.