Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

Dangote Cement penetrates giant Kenyan Cement Market

nilichogundua tatizo ni GESI. Huyu Dangote anahitaji gesi yetu kwa gharama yoyote. Hizo cement ni njia tu ya kuchukua gesi. Naipongeza serikali kwa kushtukia hila zake na kumkazia. Serikali ikikubaliana nae basi itakuwa tu sawa na mikataba ya kilaghai kama ya madini na umeme. Mnaoponda serikali ni wavivu wa kufuatilia mambo na kuishia kupiga stori za vijiweni kwenu.
Naanza kupata mwanga
 
Wakuu nawasalimu sana.
Dangote anaenda kenya, hiki kiwanda atakachojenga kenya ndio kile alichotaka kujenga kigoma ili ashike soko la Burundi na Congo, serikali kutoheshimu makubaliano ya kibiashara itatugharimu viwanda kuondoka ni kosa kubwa kwani katika viongozi wanaopiga kelele hakuna wa kuweza kugombana na yajiri level ya Dangote narudia tena hakuna sana tutaumia sisi.
Washauri hakikisheni mnamaliza matatizo forbes washatuandika vibaya hivyo kuweni makini ni rahisi kuwekeza malawi kuliko Tanzania.
Acha tutumie ubabe kuamua mambo ya uhai wa taifa kama hayo ya wiwanda.
 
Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
Bwana Lizaboni mngoni mwenzangu,kwa mawazo yangu sidhani kama kufungua mitambo nakuitia kwenye MELI toka Mtwara mpaka bandari ya Mombasa kama itakuwa sawa na kwenda kununua mitambo na kuitoa huko sokoni mpaka mombasa.Kama kigezo cha kumkomoa Dangote ni kwamba hawezi kufunga kiwanda kwa kuwa ni gharama basi serikali imefeli mkuu.....
 
By Naomi Kamau.

Africa’s richest man with a fortune valued at $20.8 billion (Sh1.78 trillion) by Forbes Magazine ,Aliko Dangote, a Nigerian tycoon is set to penetrate the Kenyan lucrative Cement market.

The government has issued an operating license to Dangote Cement, paving way for the conglomerate to establish a $400 million (KSh34.4 billion) plant in Kitui County. The entry of Dangote Cement will exert pressure on existing producers and cut margins in the local and regional cement market.


Aliko Dangote, who owns Dangote Company.

Kitui is the ideal location for cement production plants due to the availability of limestone deposits and proximity to the Mui basin, which has coal reserves.

Dangote Group has been given a go ahead to prospect for limestone and other relevant minerals in Kanziku-Simisi, Kitui South Sub-County. The project will include installation of equipment as well as mining, quarry and power facilities.

Athi River Mining (ARM) Cement also plans to invest in Kitui. ARM will invest up to $300 million (Sh25.5 billion) to fund new plants including the planned unit in Kitui that will produce 8,000 tonnes of cement per day.

This will make it the single largest cement factory in the country ahead of the planned Dangote cement plant that will have a daily capacity of about 5,500 tonnes.

“While new entrants have succeeded in using discount pricing as a tool to segment the market, it is only a matter of time before intense rivalry cuts across the entire market,” A report by East Africa Cement Sector by Standard Investment Bank (SIB) said.

Dangote Group has partnered with China’s Sinoma International Engineering Company in a deal worth $1.487 billion to build cement plants in several African countries including Kenya, Ethiopia, Tanzania, Zambia, Senegal, Niger, Mali, Cameroon, Cote d’Ivoire and Ghana. This move is expected to increase by 50 percent the existing production of almost 50 million tonnes of cement.

“The investment is fine if they follow the same process as others: there are a lot of community issues but if they play on a level playing ground without getting special status that is fine.” Pradeep Paunrana, Kenya Association of Manufacturers , incoming chairman said.

In July 2015, about 42 percent of Dangote’s cement sales were sold outside Nigeria. The company had also cut prices in its home market in an attempt to boost cement consumption and compete with imports.


Dangote Group businesses deal with cement, sugar, flour, salt, pasta, beverages and real estate.

In 2014, Kenya produced 4.7 million tonnes of cement last year, up from 2.8 tonnes in 2008, according to the Kenya National Bureau of Statistics.

Most cement firms are using coal to power their machines as opposed to expensive oil fuel, which is prone to price volatility. Kenya imports the bulk of its coal from South Africa.

Economy

According to the East Africa Cement Sector Valuation by Standard Investment Bank, through to 2017, Kenya is expected to remain the dominant country accounting for 42% of total consumption, 51% of total production and 50.5% of total grinding capacity.

Kenya’s GDP is expected to grow at an average of 5% in the next ten years, creating more opportunities and interest from investors. Fortunately, demand for cement will increase owing to increase in individual construction, real estates, and the construction of the new standard gauge railway project estimated to use 500,000 – 650,000 tons of cement this will be a great market for Bamburi Cement.

In Kenya, clinker, the main raw material used in the manufacturing of cement, is imported, exposing the industry to currency risk. For instance, Bamburi posted a decline of 9.5%. in margins owing to increased use of imported clinker, rising energy costs and weak pricing environment due to increased competition.

The cement makers rely on volumes to grow profits given that prices have remained static over the past three years despite a rise in raw material costs. Analysts expect the prices to come under pressure from the new cement capacities.

The government should set a fair play ground for local producers and investors to capitalize on cement production.
Afadhali wamchukue Dangote na sisi tubaki na Diamond Platunums
 
Jpm, fukuza mwijage, fukuza muhongo, wati
mue haraka sana maana ktk hili wamekuangusha.
 
Sometimes huwa nahs mkuu wetu anaongea mambo ya side b

Huu ni udini tu. mkuu ni mdini sana na ana remotiwa na Vatican through pengo. Fatilia.

Eti kwavile ni alhaj dangote na Vatican hawafaidiki naye wanamwekea mizengwe mingi.

Hawataki MTU asiye wao awekeze. Atafaidi.

Bakhresa mwenyewe walitaka kumchinjia majini lakini wakakuta kina kirefu wao watazama
Why? Bse is a Muslim
Think twice.....

Issue kwavile kimejengwa Mtwara kwa waislamu wengi.

Wakamuachia

Visa tu. Ila wamechelewa jk keshanaliza. Kiwanda miaka 99 kipo lazima kizalishe dangote tajiri kubwa. Ataendesha hata kwa generator.
 
Dangote hawezi kuondoa kiwanda. Ujenzi wa kiwanda ni wa gharama kubwa sana hivyo hawezi kufanya ujinga huo. Msiwe na akili za kilofa
mkuu sidhani kama mtu mwenye fedha zake duniani pote anaona asara kama ni jambo la kushangaza kama walivyo maskini.

Matajiri ua hawapendi ndimi 2 yaani hawapendi umagumashi kwenye biashara.

Swali hapa Je! Awamu iliyopita iliingia mikataba na huyu ndugu ya Kupiga Mbizi kwenye Ges na Mafuta?

Kama walifanya hivyo basi Anayetakiwa kushugulikiwa ni Viongozi wa Awamu hiyo na siyo kuja kumletea Mizengwe Huyu ndugu.

Kinachotuponza nchi hii ni uchama mbele Taifa nyuma. Kulindana lindana.

Tunashuhudia wanaotumbuliwa wengi wao sio wanasiasa bali ni watu wataaluma.

Huku wanasiasa wengi walio haribu katika nafasi zao kwa kuingia mikataba mibovu wakiachwa mitaani.

Tukiendeleza Dhambi hiyo ya kutumbua kwa kubagua hakika Laana ya Mwenyezi Mungu haita Ondoka kwenye Nchi hii.
 
Nimecheka sana kwa masikitiko nilipoisoma hii habari.

Kwa hakika viongozi wetu wanahitaji "economic and global political exposures" ili wajue dunia haipo wanavyofikiri wao. The world is so complex and full of unrealistic forces pulling each other to make it over nasty.

Some people will come and just say "let him go"! We need tax! we need fair play ground! we need equalities and any sorts of slogans. But the issue is not Dangote! the big issue is government incredibility to honor world-class investors. Statement (as we read from the Forbes Magazine regarding this saga) that "the current government has refused to honor the agreement" shouldn't be taken as a normal statement. It has a bad image over the face of global investors and the Government has to take appropriate measures to counter and downsize the matter.

We cannot talk about economic growth and reducing inequalities at the same time. At this stage let inequality prevails so as to build strong manufacturing and productive sector of the economy before we work for income gaps. But, it seems we are hurry and so ambitious to deliver over the night.
**
wewe unatakiwa umsaidie rais wetu...
 
Hivi nyinyi ambao mnapenda kurukia mambo ambayo hamuyafahmu kwa kina na ku-draw conclusion ni watu wa aina gani?
Hivi unafahamu makubaliano ya uwekezaji kati ya kampuni hiyo na serikali???
Hivi unafahamu pia kitu ambacho dangote anakihitaji?
Humu jamvini ni nyinyi ambao huwa mnapenda kulalamika kuwa wawekezaji wa nje wanapewa mikataba ya 'carte blanche' na mwisho wa siku nchi ikiwa haimbulii kitu? siyo ninyi mliotaka mikataba ambayo inaweka maslahi ya nchi kwanza?
Siku zote ninawaambia fanyeni kautafiti kabla ya kuanza kuponda. Naona utafiti wenu wote unaishia kwenye magazeti tu. na wengi wao kwa sasa kazi ni kuandika hisia ya wahariri wao badala ya kufanya utafiti, kuuliza wataalamu na mwishowe kuandika. Kwa spidi hii, mtaishia kuwa wataalam wa kulalamika tu.
Huo utafiti unaotaka tufanye ndipo tutoe hitimisho tutaufanyia wapi ikiwa Waziri ambaye ndiye ana dhamana na. 1 juu viwanda anatuambia "jana liwaficha/niliwadanganya". Tuwe wakweli hili jambo tunalishughulikia kwa kutumia upeo mdogo sana. Tuliwauliza kwanini kina Bakhresa, Azania wananunua ngano kutoka Canada kwanini yeye mumzuie kununua huko? Mimi naamini yeye si mjinga, mkiyafanya makaa yetu kuwa bora na nafuu kwa siku za usoni hataagiza South badala yake atanunua wapi kwenye unafuu.
 
Nimesikiliza VOA leo , kumbe kelele zote za Dangote cement zimeanzishwa na wapiga dili waliobanwa na serikali ya JPM.. job true true!
 
nchi kubwa na umasikini tele
tmatto_1384962000.jpg
Dangote alikuwa anakerwa na hali hii,lakini sisi wabongo tunataka wabaki katika hali hii ili wakati wa kampeni tukiwapelekea khanga na t-shirt na tukofia twa kidwanzi watuchague WARA SHAME!
 
You can never make it alone into this life kabisa,alafu kingine roho mbaya haijengi haswa unapokuwa kiongoz,
Issues ya dangote ni chuki binafsi tuu hakuna zaid ya hiloo mta tafuta kila sababu juu ya hilo.jambo
The avalanches levels of hatred juu ya Dangote ni kubwa mnoo hailezeke kabisa nawaambia,tuzid kuomba kwa moro wetu solutions ipatikane ili kiwanda waki restart,maana victims hapo ni kina sisi walala hoi.LIMBO!!!
 
Back
Top Bottom