Dangote Industry Cement kufungulia October 10 2015

Dangote Industry Cement kufungulia October 10 2015

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
811
Siku ya tarehe 10 October 2015 Historia itaandikwa katika Manispaa ya Mtwara na Afrika Mashariki ni pale kiwanda kikubwa cha uzalishaji wa Siment Afrika Mashariki na Kati kitakapofunguliwa na Mh:- Jakaya Mrisho Kikwete....

Karibuni wana JF tushuhudie kufunguliwa kwa kiwanda cha Dangote mjini Mtwara.
 
_DSC0229.JPG
7_10_o.jpg
_DSC0243.JPG

Photos from http://www.skyscrapercity.com/Tanzania
Link Mtwara Dangote Industries Tanzania|$500M+| Port & EA Biggest Cement Factory| U/C - SkyscraperCity
 

Attachments

  • _DSC0224.JPG
    _DSC0224.JPG
    58.8 KB · Views: 566
Ile siku ndio leo wadau japo nimebanwa sana ila nikipata wasaa nitaenda kushuhudia tukio nakukuletee update hapa jamvini
 
Juzi, Jana na Leo kumekuwa na uhaba mkubwa wa cement.
 
Hii italeta ushindani wa biashara na bei zitapungua,i wish tungekuwa na kampuni nyinzi za umeme.Huu mgao ungeisha
 
Kwa uwekezaji huu kapunguziwa kodi kiasi gani?
 
Kwa uwekezaji huu kapunguziwa kodi kiasi gani?

Ndio maana Lowassa kasema kuwa TRA lazima ipitie mitaji ya uwekezaji ili waone wawekezaji wanalipa vipi kodi....
Huyu jamaa ninavyojua hatalipa Kodi hadi siku akiamua maana waliomleta ndio hao CCM
 
Back
Top Bottom