Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Huwa sishughulikag na links za mtindo huu hata sku moja
Dangote hii hii ambayo kipindi cha nyuma hatujapata mishahara miezi mitatu continously.
AhahhaUnaviziwa
Kwakweli Ni ujinga mtupuHuwa sishughulikag na links za mtindo huu hata sku moja
Shida nn Mkuu kutolipwa? Uzalishaji umesimama?Dangote hii hii ambayo kipindi cha nyuma hatujapata mishahara miezi mitatu continously.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
hizi link nmetumiwa mpka na watu ambao naheshimiana nao nkasema kweli vyuma vimebana
Tafuta hela mkeo atulie broKumbe ni changa la macho, hata wife katumiwa jana akawa anahangaika nayo bila chochote kueleweka...
Kwa hakikaWabongo tunapigwa sana
Mke anatulizwa kwa hela? wewe jamaa boya sana......nyie ndo wake zenu wanaliwa na bodaboda mkitegemea pesa itamtuliza mke.Tafuta hela mkeo atulie bro
Hahaha bro matusi yann tenaMke anatulizwa kwa hela? wewe jamaa boya sana......nyie ndo wake zenu wanaliwa na bodaboda mkitegemea pesa itamtuliza mke.