Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara.
Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE
Semeni.
Hii ni kama aibu vile! Mtwara wana gesi ya kutosha kusimika mitambo ya kuzalisha umeme wa uhakika kama walivyoahidiwa hapo nyuma. Kutokana na ukiritimba au ubinafsi, mitambo ya kufua umeme lazima ijengwe Kinyerezi kwa kutumia gesi kutoka Mtwara! Dangote ameona upuuzi na kuamua kujenga mtambo wake.
What a pessimistic way of thinking. Muono kama huo wako ndiyo unaifanya Afrika isiendelee.
FaizaFoxy usivae miwani ya mbao, tumeshashuhudia uchafu mwingi katika sekta ya nishati na madini: buzwagi signing, kiwira na Mkapa, uvujaji wa cynide buhemba, richmond, iptl-escrow, mradi wa bomba la gas, etc kwa nini Dangote iwe tofauti???
Another big energy scandal in the making!!!! IPTL na Escrow nyingine hiyo Tusubiri tu kitaponuka!!!
Unamuuliza nani sasa fanya utafiti uje na jibu.Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?
Ni good move lakini ingekuwa jambo zuri kama serekali kupitia kampuni yake wangekuwa na hisa si vizuri kila kitu kufanywa na wageni.
Mi ninachotaka bei mwisho wa siku iwe <100 kwa unit moja ya kWh. Umeme kazalisha nani sidhani kama ni issue kwa dunia ya leo.
Na wewe fisadi nn!unit kwa sh bado ni nyingi mno,kwa gesi tuliyonayo inatakiwa unit 1 kwa shilingi 20