Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

Ni good move lakini ingekuwa jambo zuri kama serekali kupitia kampuni yake wangekuwa na hisa si vizuri kila kitu kufanywa na wageni.
 
Hii ni kama aibu vile! Mtwara wana gesi ya kutosha kusimika mitambo ya kuzalisha umeme wa uhakika kama walivyoahidiwa hapo nyuma. Kutokana na ukiritimba au ubinafsi, mitambo ya kufua umeme lazima ijengwe Kinyerezi kwa kutumia gesi kutoka Mtwara! Dangote ameona upuuzi na kuamua kujenga mtambo wake.
 
Huo sasa usongo.

Kama unaweza hata wewe unaweza kuanza kuzalisha umeme, unangoja nini?

Mitambo iliyowekwa Kinyerezi ni kwa sababu zake maalum, kama isingewekwa hapo kuanza tena kuiunganisha na gridi ya Taifa ni gharama kubwa sana ukilinganisha na kuiunganisha kutokea Kinyerezi, isitoshe, kwa sasa gas itakayozidi, Dar itapata matumizi haraka sana kwa viwanda vilivyopo kuliko Mtwara.

Mtwara kuna mambo makubwa sana yanakuja lakini itachukuwa muda, Rome was not built in a day.

Wacha kuwa na mtazamo wa kizamani usituletee siasa za majimbo ya kubaguwana.
 
Another big energy scandal in the making!!!! IPTL na Escrow nyingine hiyo Tusubiri tu kitaponuka!!!

What a pessimistic way of thinking. Muono kama huo wako ndiyo unaifanya Afrika isiendelee.
 
Azalishe tu mradi bei ya umeme isiwe ya kibepari...
 
What a pessimistic way of thinking. Muono kama huo wako ndiyo unaifanya Afrika isiendelee.

FaizaFoxy usivae miwani ya mbao, tumeshashuhudia uchafu mwingi katika sekta ya nishati na madini: buzwagi signing, kiwira na Mkapa, uvujaji wa cynide buhemba, richmond, iptl-escrow, mradi wa bomba la gas, etc kwa nini Dangote iwe tofauti???
 
Nimesema hivi, hayo ni mawazo ambayo hayaiendelezi Afrika na ikiwa watu watafata hayo mawazo yako basi hakutafanyika kitu.

Benki zinaibiwa na watu wanaenda kuweka fedha zao benki kila siku. Fikiri.
 
Mi ninachotaka bei mwisho wa siku iwe <100 kwa unit moja ya kWh. Umeme kazalisha nani sidhani kama ni issue kwa dunia ya leo.
 
Dangote awe tayari kunuka rushwa na ufisadi muda si mrefu !

Tunasubiri bei yake saruji itakuwa ya kifisadi kama wenzie?
 
Huwa sipati jibu rahisi kwa nini hatuko hata pro active kutambua fursa zilizopo na kuzichangamkia! Yaani dangote kutaka kuzalisha umeme mtwara ni news wakati source ya power hapo mtwara ipo waaaaaziiiiiiii.
Je kwa upande wa serikali mipango ikojee kukamilisha matamanio hayoo kwa haraka?
Isaidie basi Songea waachane na umeme wa diseli ya DEAL!!!1
 
Safi sana tunataka mambo kama hayo songa mbele halafu mjinga mwingine aje aweke zengwe.
 
Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?
Unamuuliza nani sasa fanya utafiti uje na jibu.
 
Ni good move lakini ingekuwa jambo zuri kama serekali kupitia kampuni yake wangekuwa na hisa si vizuri kila kitu kufanywa na wageni.

Acha Utani Wewe! Yaani Uchanganye Mbuzi Na Chui? Wazee Wa Escrow Wakiingia Hapo Hiyo Dangote Haitadumu Hata Mwaka,tutaoparate Kutokea Mahakamani.
 
Mi ninachotaka bei mwisho wa siku iwe <100 kwa unit moja ya kWh. Umeme kazalisha nani sidhani kama ni issue kwa dunia ya leo.

Na wewe fisadi nn!unit kwa sh bado ni nyingi mno,kwa gesi tuliyonayo inatakiwa unit 1 kwa shilingi 20
 
Na wewe fisadi nn!unit kwa sh bado ni nyingi mno,kwa gesi tuliyonayo inatakiwa unit 1 kwa shilingi 20

Mkuu angalia vizuri comment yangu hapo mbele ya 100 kuna kaalama fulani kana maana ya less/chini ya.
 
Back
Top Bottom