Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

Ni good move lakini ingekuwa jambo zuri kama serekali kupitia kampuni yake wangekuwa na hisa si vizuri kila kitu kufanywa na wageni.
Yote yanawezekana sisi ngoja tushauri wahusika wachukue ushauri kama wataona unafaa.
 
Nchi ya vipofu hii. Tungekuwa makini huyo ni mteja mzuri wa umeme wetu. Sasa atazalisha wa kwake na kutuuzia ziada. What a shame. Umeme ni usalama wa nchi inayojitambua. Kwa nchi ambazo hawajui kwa nini ni maskini pamoja na wingi wa malisimali hayo ni kawaida. Watu walishakula ka escrow kao.
 
Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara.

Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE

Semeni.

Hiyo ndio naweza kuita Afrika's success story na SIYO hawa Waarabu ama Wahindi akina Bakhresa, Dewji, Sobodo &Co. waliofaidikia na Biashara ya Utumwa na meno ya tembo, yaani uwekezaji wa watu walio kama mimi weusi kwa 100%!
 
Ewe punguani umeaminishwa kuwa Afrika ni kontinenti la watu wausi ukaamini.

Mtazame Mwigulu, mweusi yule?

Wacha ubaguzi wa kijinga, Afrika kuna weupe wengi sana kuliko akili yako iliyo kizani.
 
Hivi nyie magamba mnasoma shule zipi mpaka mnashindwa kufanya tafakuri za kina.. Unataka kutuambia mitambo ya kinyerezi ingefungwa mtwara then nyaya za umeme zitandazwe na kuja kuunganishwa kwenye grid ya taifa ni gharama kubwa kuliko mnavyojenga hilo bomba la gesi na kuisafirisha kutoka Mtwara mpaka Kinyerezi Dar?

Tunajua nyuma ya pazia kulikuwa na nin kwenye huo mkataba tata wa gas.. Tulitegemea mtekeleze sera yenu ya Mtwara Corridor ambayo ilikuwa na nia nzuri na gharama nafuu.. Umeme uzalishwe mtwara, upelekwe RUVUMA, RUKWA NA KIGOMA unakuja kuungana na Tabora then Mwanza na Kagera..

Kwa ubongo kama wako nchi hii itachukua zaidi ya miaka 100 kutuondolea kero ya umeme nchini..
 
Ewe punguani umeaminishwa kuwa Afrika ni kontinenti la watu wausi ukaamini.

Mtazame Mwigulu, mweusi yule?

Wacha ubaguzi wa kijinga, Afrika kuna weupe wengi sana kuliko akili yako iliyo kizani.

Sijasema kwamba Afrika kuna watu weusi tu, bali nimesema hapa kwetu ni nchi ya watu weusi kwa 100%!
Unaniita punguani halafu unaniuliza kama Mwigulu Nchemba ni Mtu mweusi?
Kwanza jina tu la Mwigulu Nchemba linatosha kukwambia kwamba huyu Mtu ana mizizi yake hapa hapa nchini, lkn jina kama Dewji, Sobodo, Bakhresa, Singh hata Mtoto wa chekechea atakwambia kwamba hawa ni Wahindi na sio wetu na picha hapo chini zinasema yote!

View attachment 207666View attachment 207671

View attachment 207667View attachment 207668View attachment 207673
 
Tazqma maajabu haya jamani, unafikiri nyaya tu ndiyo zinasafirisha umeme? Dah hizo shule mnazokwenda huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Nimekuuliza Mwigulu nae katokea wapi? mwezini? au kwenu yule mweusi?

Wacha ubaguzi wa kijinga, Afrika kuna wengi sana weupu/ Hao ulioweka picha zao pengine ni Watanzania zaidi yako.
 
Ni good move lakini ingekuwa jambo zuri kama serekali kupitia kampuni yake wangekuwa na hisa si vizuri kila kitu kufanywa na wageni.

Hayo mambo ya hisa sasa ndo inazalishwa Escrow season 10.
Sisemi kwamba ni vibaya ila kwa style hii tuliyoiona kwenye sakata la IPTL, PAP na mahasimu wake .............
No more commento
 
Nimekuuliza Mwigulu nae katokea wapi? mwezini? au kwenu yule mweusi?

Wacha ubaguzi wa kijinga, Afrika kuna wengi sana weupu/ Hao ulioweka picha zao pengine ni Watanzania zaidi yako.

Wewe naona sasa unachanganyikiwa, iweje Muhindi, Sobodo, Singh, Dewji wawe Watz kuliko mimi?
Tufanye jaribio la kinadharia, twende shule ya Msingi Mtendeni halafu mimi, Mwigulu, Singh, Dewji au sijui Sobodo tuingie darasani halafu tuwaulize watoto wa shule wachague ni yupi kati yetu ni Mtz, unafikiri watamtaja Singh au Dewji ambao hata kutamka majina yao watashindwa?
 
Mi ninachotaka bei mwisho wa siku iwe <100 kwa unit moja ya kWh. Umeme kazalisha nani sidhani kama ni issue kwa dunia ya leo.
sasa hivi iko >tshs350 ndio unaona wakubwa wanapata viroba vya noti kama mgao wao bila kuwekeza kitu.
 
hatutaki kampuni yoyote ya mtu kuzaliza umme hapa nchini tunangoja umeme wa gas asili
 
Hehehehehe.. watu wanatoana macho wakati Dangote ameomba kujenga mitambo ya umeme kwa ajili ya matumizi ya kiwanda chake tu na siyo kuwauzia watu...

Link soma hapa.. maana yake nenda ndani soma halafu rudi kwa comments....🙂
 
Tazqma maajabu haya jamani, unafikiri nyaya tu ndiyo zinasafirisha umeme? Dah hizo shule mnazokwenda huwa mnaenda kusomea ujinga?

We mburula wa kike haya tuambie kama sio nyaya kiunganishi kikuu cha umeme ni nini,, na nini maana ya grid ya taifa? Hata unavyosikia mkongo wa taifa ni nyaya ndiyo kiunganishi.. Au Bluetooth..na bomba la gas ndiyo kiunganishi cha umeme kama mnavyodanganywa na la-profesar Mkwele?
 
Nimekuuliza Mwigulu nae katokea wapi? mwezini? au kwenu yule mweusi?

Wacha ubaguzi wa kijinga, Afrika kuna wengi sana weupu/ Hao ulioweka picha zao pengine ni Watanzania zaidi yako.

Kweli Kabisa,ukijua Kuwatengenezea Viongozi Wa Ccm Madili Ya Kupiga Hela Kama Sethi Singh Unatunukiwa Uzalendo Na Kina Faiza Vibaraka Wa Wezi,eti Singa Singa Mwizi Ni Mtanzania Kuliko Mndengereko! Ajabu
 
Siku hizi ni Ruksa kufua Umeme na kuiuzia Tanesco
 
Kweli Kabisa,ukijua Kuwatengenezea Viongozi Wa Ccm Madili Ya Kupiga Hela Kama Sethi Singh Unatunukiwa Uzalendo Na Kina Faiza Vibaraka Wa Wezi,eti Singa Singa Mwizi Ni Mtanzania Kuliko Mndengereko! Ajabu

Naam, hilo kaa ukilijuwa Mtanzania asiyeweza chochote mpaka angoje kufanyiwa ana faida ipi ya kuwa Mtanzania?

Leo Mwekezaji anaeweza kuja kuwekeza Tanzania na akaajiri Watanzania awe, mweupe mwekundu mweusi, mimi namuona ni Mtanzania bora kuliko weusi kumi wanaongoja kulalama na kufanyiwa na wanaoshabikia ubaguzi kama wewe.

Una faida gani ya kuitwa Mtanzania ukishaanza kubagua Watanzania wenzako kwa rangi zao? nakwambia huna hadhi ya kuitwa Mtanzania hata chembe.
 
Chama chako ndicho kiliwaahidi wananchi wa huko kuwa kutajengwa mitambo ya kuzalisha umeme. Sasa huo mtazamo wa kizamani na majimbo ni wangu mimi au chama chako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…