Huo sasa usongo.
Kama unaweza hata wewe unaweza kuanza kuzalisha umeme, unangoja nini?
Mitambo iliyowekwa Kinyerezi ni kwa sababu zake maalum, kama isingewekwa hapo kuanza tena kuiunganisha na gridi ya Taifa ni gharama kubwa sana ukilinganisha na kuiunganisha kutokea Kinyerezi, isitoshe, kwa sasa gas itakayozidi, Dar itapata matumizi haraka sana kwa viwanda vilivyopo kuliko Mtwara.
Mtwara kuna mambo makubwa sana yanakuja lakini itachukuwa muda, Rome was not built in a day.
Wacha kuwa na mtazamo wa kizamani usituletee siasa za majimbo ya kubaguwana.