Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme



Ha ha ha ha

MFUKUZI unahangaika bure na akina FaizaFoxy uelewa wao juu ya haya mambo ni mdogo Sana.....

Wakati wewe upo serious mwenzio anajifurahisha na kupoteza muda.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Radi ni umeme pia, na angani hakuna nyaya, Inasafiri vp?
 
Maneno yake FaizaFoxy yana roho ya kama mbunge ...... !

Kwa hiyo,SI AJABU kutetea maslahi binafsi kuliko taifa lake !
 
Last edited by a moderator:

EWe punguani kanisome vizuri siyo unajibu kwa kukurupuka, nimesema "unafikiri ni nyaya pekee". Hilo neno pekee hujaliona au ni upunguani tu?

Zile nyaya za "high voltage" unazibeba mgongoni kusafirisha umeme? unajuwa equation za loss ya electrical resistance? unajuwa maana ya stations na sub stations?

Kupitisha nyaya za umeme za high voltage kuna involve kuchonga njia vile vile chini ya hizo nyaya, unalijuwa hilo ewe punguani? Unajuwa gharama ya yale maguzo ya high voltage kuyasambaza kilo meter 500?

Si nyaya pekee, kuna mengine ya kutazama zaidi ya nyaya.

Hivi hizi shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Hii kitu ingeachwa kwa watu binafsi from the beginning wala tusingefika kwenye hizi skendo zote na washamba kama akina chenge kugawiwa pesa hovyo

Hilo ni kweli kabisa na nnaunga mkono 100%.

Kuna watu humu wasome vizuri tu hawakubaliani na hilo.
 
Maneno yake FaizaFoxy yana roho ya kama mbunge ...... !

Kwa hiyo,SI AJABU kutetea maslahi binafsi kuliko taifa lake !

Hivi wewe unajuwa kusoma au umekurupuka tu.

Hilo Taifa bila ya kuwa na watu binafsi litaendelezwa na nani? na miti?
 
Naisi another type of ESCROW ndo inakuja. Ila tupige matunguli yasitokee maana na yeye atachafuka kama atakuja KiEscrow
 

Na kwa hiyo fisadi unachojaribu kusema ni kwamba Gharama hizo ni kubwa kuliko Gharama za Ujenzi wa bomba la gesi mpaka Dar es salaam?
U must be sick!!!
 
Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara.

Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE

Semeni.

Inasikitisha sana sisi watanzania ni majitu ya Ajabu sana. Umeme ni miongoni mwa Biashara zanazolipa sana lakini kuna watu wana fedha za kutosha kabisa kuanzisha miradi ya kufua umeme lakini hatuoni fursa hiyo. Nina hakika zaidi ya watanzania 100 wanauwezo huo wakiwemo wafanya biashara kubwa kwani kwa kiasi kikubwa miradi hiyo hupata mikopo kirahisi na seriakali huwa inatoa dhamana.

Serikalini nako tuna watu wengi wenye mitazamo finyu wakipata milioni 40 au milioni mia moja wanadhani wanaweza kuizungusha dunia wakati kuna fursa kubwa ya kuteneneza mabilioni kwa Taifa hili. Huenda baada ya mabadiliko makubwa kwanza ya ki fikra, na pili ya ki uongozi ndipo tutakapogundua kuwa sisi tuna fursa kubwa kulioko India, China na Dubai. Mungu atufungue AKILI.
 
mikataba yote kuanzia sasa ipelekwe na kuhakikiwa, kujadiliwa na kupitishwa na bunge???
 
Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara.

Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE

Semeni.


Hii nayo ni dalili ya kuturudisha nyuma ki maendeleo, mabadiliko yanaanza na sisi lakini waungwana mnapigana visu vya migongo bila sababu. Tutaendelea kweli kwa tabia hii?? Bila watanzania kuwa na Upendo na ushirikiano hakika hatutafika.
 
Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?

Kwa mwezi tunamlipa IPTL aka PAP capacity charge kiasi cha $4,200,000 kwa mwaka ni $50,400,000 na kwa miaka 20 aliyo na mkataba nayo ni $1,008,000,000.

Tembelea hii website upate kujua ni mitambo mingapi tunaweza kununua!!!!

http://www.orley.de/power-generation-plants-sale-purchase.htm
 
Mengi haanzishi kama mwenzie Dangote, ye anasubiri siku Tanesco ikipigwa mnada adai "wazawa" wapendelewe....
 

Ina maana hawa watawala wetu hawajui kutafuta au ni biashara inayowalipa wao kwa kukodisha?
 
Malizia kutoa taarifa kwamba umeme wote ni kwa MATUMIZI YAKE PEKEE...

Na cement atakayozalisha kwa kutumia huo umeme ni kwa matumizi yake pekee?
 
Na cement atakayozalisha kwa kutumia huo umeme ni kwa matumizi yake pekee?
Matumizi ya wote. Watanzania na watu wa mataifa mengine. Ila unaweza wafanya wana Mtwara wakadhani umeme wa Dangote utaingia kwenye nyumba zao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…