Dangote Kuanza Kuzalisha Umeme

Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?
Kwa kweli inashangaza sana. Tunalipa mabilioni kila mwezi kama capacity charges. Shamba la bibi hili.
 
Matumizi ya wote. Watanzania na watu wa mataifa mengine. Ila unaweza wafanya wana Mtwara wakadhani umeme wa Dangote utaingia kwenye nyumba zao...

Naam kuna nyumba zitapata huo umeme.
 
Dangote wameomba leseni ya kuanza kufua na kuzalisha umeme wa megawati 75 huko Mtwara.

Soma zaidi: DANGOTE INDUSTRIES-PUBLIC NOTICE

Semeni.
Lengo kuu ni kuzalisha umeme wa kuendesha kiwanda chao cha saruji. Pengine itasaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kumpatia mwananchi saruji kwa bei nafuu. Kwa upande mwingine, hivi sheria ya uwekezaji haiwahitaji hawa kina Alhaji Aliko kuwa na wabia wakitanzania kwenye uwekezaji wao?
 


Pitia tovuti ya TIC kuna sheria zote za uwekezaji.
 
nilikua mtwara wiki kadhaa na nilibahatika kufanya interview na project manager wao...moja ya maswali ilikua ni wanategemea source gani ya power./...wakaniambia tpdc/gas thing walifuatwa but they are so expensive...........the plan wataimport hayo makaa ya mawe then watengeneze power....hao EWURA wamejiridhisha watatoa wapi izo raw materials?lait wangejua zinatokea China
 
Zikitoka China kuna tatizo gani?
 
Dangote anazalisha umeme huo kwa Matumizi yake ya kiwandani pake. Hivyo Hana sera ya kumuuzia TANESCO.

Another big energy scandal in the making!!!! IPTL na Escrow nyingine hiyo Tusubiri tu kitaponuka!!!
 
Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?

Naomba somo: capacity charges ni nini? Ajuaye tafadhari!
 
Nchi ya shaghla baghla hufanya mambo yake pia kwa mtindo wa shaghla baghla
 
Nchi ya shaghla baghla hufanya mambo yake pia kwa mtindo wa shaghla baghla
Kivipi? Kwa kuja wageni kuwekeza? Nchi ndo zinavyoendelea hivyo hata wewe ukiona fursa kenya, uganda n.k kawekeze. Kuna watanzania kibao nchi za watu wanavuta pesa. Sijui mnataka dunia iendeshweje au mlitaka aje kuwekeza mzungu? Ukiwa na capital hakuna nchi utakatazwa kuwekeza
 
Azalishe tu mradi bei ya umeme isiwe ya kibepari...

Ukisoma maelezo ya link utagundua Dangote atazalisha umeme kwa ajili ya Vinu vyake Cement( Kiwanda) ni kwa ajili yake yeye mwenyewe. Hivyo sioni ni kwa jinsi gani kuna ufisadi hapo. Wadau wasome link iliyotolewa. Itakuwa ni shida kama Dangote akiingiza kwenye grid, hapo maneno maneno yataanza hata kama ilikuwa ni kwa nia njema.

Nadhani asikubali kuingiza Umeme wake kwenye mfumo wa Serikali, maana Tanzania ni ngumu sana hii.
 

Naddhani umekulia nchi ya shaghla baghla na hujui nchi nyingine zinaendeshaje mambo yao kwa hiyo unaimba nyimbo za kila siku za wanasiasa wa shaghla baghla za kuvuta hao wanaoitwa wawekezaji. Nchi za uhakika zina taratibu tofauti kabisa katika mambo ya ujenzi wa vitu kama uzalishaji wa umeme, barabara, na reli.
 
Nimesema hivi, hayo ni mawazo ambayo hayaiendelezi Afrika na ikiwa watu watafata hayo mawazo yako basi hakutafanyika kitu.

Benki zinaibiwa na watu wanaenda kuweka fedha zao benki kila siku. Fikiri.
acha umbwiga ni benki gani iliyoibiwa? ambayo sasa haipooo??
 


Mkuu lakini huyu anadhalisha kwa ajili ya kiwanda chake, kuna tatizo katika hilo?
 
Halafu SIMBA TRUST wakale wapi?????
Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…