SMU
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 9,613
- 7,889
Kwa kweli inashangaza sana. Tunalipa mabilioni kila mwezi kama capacity charges. Shamba la bibi hili.Hivi hizi hela za capacity charge tunazolipa makampuni yazalishao umeme hatuwezi kununua mitambo yetu ya kufua umeme wa gesi ikawa mali ya tanesco?