Dangote kuanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Kenya mwezi wa kumi 2026

Dangote kuanza ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Kenya mwezi wa kumi 2026

TUKUYU88

Senior Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
172
Reaction score
453
Tajiri wa Africa Dangote amesema kiwanda kitaanza kujengwa mwezi wa kumi mwaka huu. Je kwetu ujenzi utaanza lini? wakianza hata kusogeza kipande cha jiwe mniambie.
 
Mafuta watatolea wap?
Yaan Crude oil Itoke Nigeria ije ishafishiwe Kenya?

Hahaha Blah blaah .

Rutto alikua sahihi kiwanda kijengwa Tanga 100%
 
Mafuta watatolea wap?
Yaan Crude oil Itoke Nigeria ije ishafishiwe Kenya?

Hahaha Blah blaah .

Rutto alikua sahihi kiwanda kijengwa Tanga 100%
Kenya wanaanza kupata crude oil muda huo huo.

Sisi tupambane na exploration zinazoendelea kwenye vitalu huko kusini na kwingineko wakati tukisubiri mafuta toka Uganda.
 
Ndugu yangu, sahau kuhusu jiwe kusogezwa. Hapa kwetu hata lile greda la kwenda kusogeza hilo jiwe, bado lipo bandarini linasubiri clearance ya kodi.
 
Kenya wanaanza kupata crude oil muda huo huo.

Sisi tupambane na exploration zinazoendelea kwenye vitalu huko kusini na kwingineko wakati tukisubiri mafuta toka Uganda.
Shortcut ina hasara.

Tukomae Na chetu.

Nchi zilizokua zinaitegemea Russia na Iran kununua crude zimepata rangi kamili
 
Back
Top Bottom