Mohaa
Senior Member
- Mar 26, 2016
- 110
- 112
Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 58 raia wa Nigeria na ndo tajiri namba moja Africa mwenye utajiri unaokadiriwa kuwa wa 21,800,000,000,000 (trillion 21.8 za kitanzania). tajiri huyu ana mpango wa kununua club ya jijini London ya Arsenal kabla ya mwaka 2020. mnamo mwaka 2010 tajiri huyu alipeleka maombi ila yalikuwa ni yenye kukataliwa. tajiri huyu akifanikiwa atakuwa ni muafrica wa kwanza kumiliki club ya mpira katika ligi ya uingereza.
Source: Goal.com
Source: Goal.com