Dangote Made $9.2 Billion In 2013; Ranked 30th Richest Person In The World

Dangote Made $9.2 Billion In 2013; Ranked 30th Richest Person In The World

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
According to a Bloomberg report that was released today, Africa’s richest man & founder of Dangote Group, Aliko Dangote, made $9.2billion in 2013 alone, raising his fortune to over $30billion and making him the 30th richest person in the world.

Bill Gates is back to being the richest man in the world after making $15.8 billion in 2013 alone and raising his fortune to $78.5 billion.

Bloomberg’s billionaires index showed that the 300 richest people in the world increased their wealth by $524 billion in 2013 and the aggregate net worth of the world’s top billionaires stood at $3.7 trillion at the close of market on December 31.
 
Aisee..sema sina hela sio hatuna hela!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
jamaa mwaka mmoja tu katengeneza pesa zinazidi budget ya serikali ya Tanzania pamoja na kuwa nchi ina rasilimali,kodi,misaada na mikopo etc lakin jamaa kaingiza mpunga mrefu kutuzidi
 
Dah jamani hivi hawa watu wao hizo hela zinaiingiaje kwao, napata wivu wa kuwa kama wao
 
jamaa mwaka mmoja tu katengeneza pesa zinazidi budget ya serikali ya Tanzania pamoja na kuwa nchi ina rasilimali,kodi,misaada na mikopo etc lakin jamaa kaingiza mpunga mrefu kutuzidi

He z not clean as u think, Si ajabu kashatoa vichwa kibao (nigeria tena tehe). He z smart and talented though.
 
very interesting.they are longtime investors,nimeamini poor in the state of mind.nchi iamke sasa maana mtu tu ana earn hela sawa na zanchi
 
Once you are a billionaire (not in T.shs), the money just keep accumulating. And the difference between Dangote and Gates are only in figures but both will just get richer until they decide not to.
 
Si kitoto nami naanza kujipanga ili nifikie huko.
Nalog off
 
Hard work pays
 
Attachments

  • 1404423091514.jpg
    1404423091514.jpg
    78.5 KB · Views: 185
There is a lot we can learn from this successful guy...any writing about how he has been able to reach that level? Maana hata sisi tuna mabilionea wengi tu Arusha na wengine hapa mjini Dar ila haieleweki wametengenezaje utajiri huo.
 
Akili za kimasikini hizi ukiwa tajiri unatumia uchawi bullshitt

Unaniita maskini unanijua sawa sawa ??? Hela unaijua ww au unasikia tu kwa watu ?? Wanaojua hela inavyotafutwa watakubaliana na post yangu hapo awali, kuwa na utajiri kuna mambo/mysteries nyingi mpumbav ww. Istoshe Rejea kwenye post nliyotoa hapo awali nimeweka neno " si ajabu " (not yet proven) Swala la yeye kutokua msafi 100% liko wazi ntafute kwa muda wako nikueleze. Jamaa namkubali yuko vizuri.
 
wew ni maskini full stop watu wanao hustle usiku na mchana hawawez kuwaza hivy si ajabu zako discuss na maskin wenzio cuna mda wa kukutana na ww
 
Back
Top Bottom