Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Ni kweli Tanzania hakuna rushwa?Corruption ni tatizo kubwa sana kwa nchi zetu za kiafrica,asante Mungu huku Bongo hilo sio tatizo tena
Unashindwa kutofautisha kati ya ufisadi na RUSHWA?At least kwa miaka miwili tumepumua kuongelea ufisadi TANZANIA...Ukisikia ufisadi basi ujue watu wanapelekwa kisutu.
Nissan to build a $20 million-Kshs 2 billion car assembly plant in KenyaUtasikia Malimbukeni wakisema kenya inaweka mazingira Rafiki ya uwekezaji. Nawawekezaji kama dangote wanaihepa kenya
Wacha kukurupuka soma habari ya hao investors, wametoa ilani kwamba serikali iwapatie 25% discount on importation ili wawekeze. Hiyo ni ndoto, serikali yenyewe haikusanyi kodi ya kutosha, 50% ya kodi iliyokusanywa inaenda kulipa madeni ya miradi hewaNissan to build a $20 million-Kshs 2 billion car assembly plant in Kenya
Hawa wamewekeza wapi?
So kenya is more corrupt than his native country Nigeria?? ???i dont buy this bullshit.Utasikia Malimbukeni wakisema kenya inaweka mazingira Rafiki ya uwekezaji. Nawawekezaji kama dangote wanaihepa kenya
Kenya ranked as 'failed state'Nissan to build a $20 million-Kshs 2 billion car assembly plant in Kenya
Hawa wamewekeza wapi?
Wachana na uyo bitter danganyika, nigeria kwenye dangote ametoka is the most corrupt country on earth alafu anatwambia nini? Though i dont support corruption im aganist it....Nissan to build a $20 million-Kshs 2 billion car assembly plant in Kenya
Hawa wamewekeza wapi?
No one has asked you to buy the story, No African country loses 1/3 of its budget to corruption only Kenya.So kenya is more corrupt than his native country Nigeria?? ???i dont buy this bullshit.
Nigeria is the most corrupt country in earth ...why did he invest there?lame excuseBy NAHASHON MUSUNGU
Africa’s richest man Aliko Dangote shelved plans to extend his vast business empire to Kenya, after being put off by top decision makers in the country whom he has described as “more corrupt than Nigerians.”
Celebrated media personality Jeff Koinange recently made the revelation from a private conversation he had with the Nigerian billionaire businessman.
Speaking on his breakfast show on local FM station, Koinange shared details of his chat with Dangote whom he meet when attended the tycoon’s daughter’s wedding in Nigeria last month.
“I asked him, ‘Al Hajj when are you coming back to Kenya?’ and he said ‘Jeff, there are people in that place (Kenya) who put greed and personal interest ahead of national interest. I didn’t think Kenya would be more corrupt that Nigeria.'” Koinange narrated on air.
RELATED STORY:
Jeff Koinange wines, dines with world’s super rich at wedding of Nigerian tycoon’s daughter
Dangote, who has been estimated to be Sh1.5 trillion by Forbes, visited Kenya in September 2013 as part of a high-powered delegation of 50 wealthy Nigerian businessmen accompany the country’s then president President Goodluck Jonathan.
It thereafter emerged that Dangote was interested in setting up a cement factory in Kenya, an investment that was projected to be worth Sh100 billion.
Nothing has happened since, amid reports that he had a change of heart and relocated the project to Ethiopia and Zambia.
Koinange is a close friend of Dangote, a relationship that blossomed when the award winning journalist was a corespondent of the Cable News Network (CNN) in Nigeria.
Dangote: Mega corruption discouraged me from investing in Kenya - Nairobi News
Weka data acha kujiliwaza kila mtu akizungumza ukweli kuhusu Kenya anakuwa mtanzwnia?, huyu ameripoti alichokisema Jeff Koinange, kosa lake ninini?, the trueth is Kenya is more corrupt than Naigeria.Wachana na uyo bitter danganyika, nigeria kwenye dangote ametoka is the most corrupt country on earth alafu anatwambia nini? Though i dont support corruption im aganist it....
Show me any country in africa that loses 1/3 of its budget to corruption. Just 1 countryNigeria is the most corrupt country in earth ...why did he invest there?lame excuse
Trueth?? Naigera ???/...buda ulisomea bongolala highWeka data acha kujiliwaza kila mtu akizungumza ukweli kuhusu Kenya anakuwa mtanzwnia?, huyu ameripoti alichokisema Jeff Koinange, kosa lake ninini?, the trueth is Kenya is more corrupt than Naigeria.
https://www.nation.co.ke/news/polit...peaceful-poll/1064-1893004-j93e9vz/index.htmlTrueth?? Naigera ???/...buda ulisomea bongolala high
Buda asante kwa kusoma Kenyan news....
Hahahaha nashangaa ni vipi huyo huyo Dangote amewekeza huko Nigeria if at all Ni corrupt pia? He is also a corrupt businessman to say the least.Wachana na uyo bitter danganyika, nigeria kwenye dangote ametoka is the most corrupt country on earth alafu anatwambia nini? Though i dont support corruption im aganist it....
Stop Running away from the topic, Give us 1 country in africa that loses 1/3 of its budget to corruption except kenyaBuda asante kwa kusoma Kenyan news....
Give us 1 country that has broken this recordHahahaha nashangaa ni vipi huyo huyo Dangote amewekeza huko Nigeria if at all Ni corrupt pia? He is also a corrupt businessman to say the least.
Huyo ni one of our many fans supporting our publications ...He contributes to our economy positively albeit without knowledge.Buda asante kwa kusoma Kenyan news....