Dangote saruji kuanza kuzalisha saruji August, Tanzania

Dangote saruji kuanza kuzalisha saruji August, Tanzania

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
The sub-Saharan Africa's leading cement producer, Dangote Cement, said it will begin production of cement in Tanzania's Mtwara region in August.

This is contained in a statement by the Office of Tanzania President, Jakaya Kikwete, in Dar es Salaam.It said the date was announced at a meeting between President of Dangote Group, Aliko Dangote and Kikwete, over the weekend.The 500 million dollars factory, which has an annual capacity of 3 million tonnes, will double the country's annual output of cement to 6 million tonnes.

However, Dangote faces challenges in accessing coal and natural gas as sources of cheap power to run the factory.Tanzania, East Africa's second-biggest economy, has made big natural gas discoveries and has coal reserves of up to 5 billion tonnes, but lacks infrastructure to deliver the energy to major factories.

Dangote's factory is being built in the Mtwara region but there is no infrastructure to connect the plant to gas from nearby offshore natural gas fields.

Dangote applied last year for a licence to build a 75 megawatt coal-fired plant in Tanzania that would power the cement factory.Initially, it will power the plant from electricity on the grid.

The Dangote Group plans to roll out plants across Africa to reach an annual capacity of 62 million tonnes by 2017, up from an estimated 42 million tonnes last year.The Tanzanian plant will supply the domestic market and export to landlocked countries in the region.

It will be competing with other Tanzanian cement producers, including Tanzania Portland Cement, owned by a subsidiary of Germany's Heidelberg Cement AG.There is also the Tanga Cement, owned by Afrisam Mauritius Investment Holdings Limited; and Mbeya Cement, owned by France's Lafarge SA.

Source: Nigerian Observer
 
Kama tungekuwa na wawekezaji wa aina ya Dangote badala ya wafanyabiashara nadhani tungekuwa tumesonga mbele kwa sana..
Hakika mkuu nchi yetu inatakiwa kupata wawekezaji kama hawa wala siyo wafanyabiashara wezi na matapeli.
 
Soko la cement linazidi kupata ushindani hapa nchini.
 
Kama tungekuwa na wawekezaji wa aina ya Dangote badala ya wafanyabiashara nadhani tungekuwa tumesonga mbele kwa sana..

Ni kweli mkuu wakwetu uwekezaji wa tanzania ni ujanjaujanja hata haueleweki,ukimtoa bakhresa wengine waliobaki ni matapeli Kwa mgongo wa uzawa
 
Ni kweli mkuu wakwetu uwekezaji wa tanzania ni ujanjaujanja hata haueleweki,ukimtoa bakhresa wengine waliobaki ni matapeli Kwa mgongo wa uzawa
Idd Simba katupiga PRIDE,UDA
 
Soko la cement linazidi kupata ushindani hapa nchini.
MUNGU anaweza saidia na sisi tukajenga tukaachana na kupanga
Ardhi nayo bei juu
Katika binadamu Dangote yuko juu mpaka anataka kusaidia Arsenal (The Gunners) wanyanyuke angalau wachukue kombe nje ya Wenger
 
Inaelekea nipo gizani naomba kujuzwa, nini kikubwa na cha kibinadam aliko dangote amekifanya kwa tz mpaka tunamsifia kwamba ni binadamu sio mjanjamjanja, sio mwiz, sio tapeli nk.
Nachofahamu so far nikwamba amejenga kiwanda kikubwa cha cement chenye uwezo wa kuzalisha kiwango sawa na viwanda vyote combined. Zaidi ya hapo sijui kitu.

Alaf tukumbuke kuwa mbele ya mteja wafanyabiashara wanapenda kuonekana wazuri kwa wateja wao ili wafanikishe mambo yao lkn nyuma ya pazia ni watu tofauti kabisa tena wengine ni hovyo kupita maelezo.
Dangote hajawahi kufanya biashara hapa tz, sidhan kama tunamjua vzr labda kama kuna watu wanamjua kabla yakuja bongo ndo watuambie
 
Mchongo wa ajira huko kwa Dangote umekaaje? Office zao hapa Dar ziko sehemu gani?
 
Inaelekea nipo gizani naomba kujuzwa, nini kikubwa na cha kibinadam aliko dangote amekifanya kwa tz mpaka tunamsifia kwamba ni binadamu sio mjanjamjanja, sio mwiz, sio tapeli nk.
Nachofahamu so far nikwamba amejenga kiwanda kikubwa cha cement chenye uwezo wa kuzalisha kiwango sawa na viwanda vyote combined. Zaidi ya hapo sijui kitu.

Alaf tukumbuke kuwa mbele ya mteja wafanyabiashara wanapenda kuonekana wazuri kwa wateja wao ili wafanikishe mambo yao lkn nyuma ya pazia ni watu tofauti kabisa tena wengine ni hovyo kupita maelezo.
Dangote hajawahi kufanya biashara hapa tz, sidhan kama tunamjua vzr labda kama kuna watu wanamjua kabla yakuja bongo ndo watuambie

huyu mutu,kila akiwekeza sehemu basi watu ambao ni wakazi wa karibu na eneo wananeemeka. kuna sehemu anajenga kiwanda nigeria,anasomesha engeneers 7000 wa sehemu zote alizowekeza. pili watu wanapata ajira, anajenga zahanati za kisasa ,shule na makazi bora. pia kwa eneo lote anatoa umeme wa bei chee au bure kabisa. anatoa misaada sana katika maeneo mengi ya viwanda vyake.

huyu jamaa na viwanda vyake vinamchango mkubwa sana uliofanya nigeria pia kuwa namba moja africa(the biggest economy) . kwa upande wa arica ,anampango wa kuwekeza karibu africa nzima,uwekezaji huo ,na uwekezaji aliopendekeza alipokuwa nchini davos kuhusu africa, unaweza peekea africa kuwa na GDP of USD 9trilions ambayo ni GDP ya china pekee leo.
kwahiyo huyu jamaa anachukua wajibu wa serikali na kuuweka kuwa wake.hivyo anatengeneza ajira sana. kwenye kilimo ndio usiseme.anazalisha flour na maize flour ,sugar inayopelekea kuwa wapili kwa uzalishaji duniani.

TUKIMRUHUSU AWEKEZE KWENYE CEMENT NA KILIMO BASI kwisha kazi.
mapungufu yake ni kwamba ,ANAWEZA KUWA MONOPOLY KAMA ILIVYO NIGERIA KWENYE CEMENT,SUGAR( 70%) Of market share. na hupelekea kueleka BEI YA BIDHAA ZAKE KUWA JUU.
ALIKO FANYA UWEKEZAJI WAKE ,WANAONA KAMA MWOKOZI.
HIVYO NAONA ANAAA ,PIA TUMCONTROL ,ASITU CONTROL.
 
Back
Top Bottom