danguro la wanafunzi lagunduliwa kinondoni!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Danguro la wanafunzi na waiosoma wakiwemo watotp wadogo limegunduliwa
\kinondoni karibu na manyanya likimilikiwa na mwarabu na wanamama wawili ambao wamekuwa wakivilisha vitoto hivyo na kuviuza kwa sh 4000 hukuwakiwapa 2000 na kuchukua 2000...
habari zaidi zinasema wahusika wote wameshakamatwa ila
cha kuhuzunisha ni juzi tu kulikuwa kimya jana shuguli zimeendelea kama kawaida......

wakionyeshwa katika picha watoto hao wamekiri walikuwa a wengine wanaendelea kusoma huku wkaifanya biashara hiyo

mmoja wa mababu wa jirani wamesema jamani nashukuru mungu mkubwa nimeumia sana na kuwakanya wapi

mungu fungua danguro zote
 
...Pdidy....toa ramani inayoeleweka niwasiliane na mpiganaji Kova tuone jinsi ya kumaliza hiyo habari kabisa!!!
 
Kipanga nimeliacha gazeti kwenye gari ntakutumia kesho mkuu!!!!inasikitisha sana kaka
 
Jamani this is really sad, laana hizi tutazipeleka wapi jamani!!! Pdidy hope you found the paper and have done the needful so some serious steps can be taken.

Mungu atusamehe sana kwa mambo kama haya!
 
Baadhi ya magazeti hutoa ripoti iliyopindishwa na mara nyingine hawatoi habari kamili kwa makusudi ili kuiuza.

Wanaposema "watoto", wametaja umri pia?

.
 
Jamani this is really sad, laana hizi tutazipeleka wapi jamani!!! Pdidy hope you found the paper and have done the needful so some serious steps can be taken.

Mungu atusamehe sana kwa mambo kama haya!

Kova anajua kuhusu hiyo habari na alisema msamalia mwema alimpigia simu kumfahamisha kuhusu hilo danguro na ni yeye aliyewatuma hao Polisi kwenda kuwakamata, sasa kama bado wanaendelea basi hao polisi waliokwenda kuwakamata wamepewa kitu kidogo na huyo mmiliki.
 
Danguro la wanafunzi na waiosoma wakiwemo watotp wadogo limegunduliwa
\kinondoni karibu na manyanya likimilikiwa na mwarabu na wanamama wawili ambao wamekuwa wakivilisha vitoto hivyo na kuviuza kwa sh 4000 hukuwakiwapa 2000 na kuchukua 2000...
habari zaidi zinasema wahusika wote wameshakamatwa ila
cha kuhuzunisha ni juzi tu kulikuwa kimya jana shuguli zimeendelea kama kawaida......

wakionyeshwa katika picha watoto hao wamekiri walikuwa a wengine wanaendelea kusoma huku wkaifanya biashara hiyo

mmoja wa mababu wa jirani wamesema jamani nashukuru mungu mkubwa nimeumia sana na kuwakanya wapi

mungu fungua danguro zote

Jinsi ulivyo toa hiyo habari ni kama vile unaishi nyumba ya jirani na hilo dangulo,badaye nakuja kugundua kumbe hiyo habari umeing'amua kutoka kwenye gazeti,ni gazeti gani (hope siyo magazeti ya udaku) na nani mwandishi wa habari hiyo, je wamesema hao watoto wana umri gani?.
 
Ni gazeti la udaku la Sani
 
Ni gazeti la udaku la Sani

So haya mambo ni ya kweli au la??? Hata kama sio watoto kiasi hicho but ni vijana wa taifa hili letu..na ni exploitation ambayo haiendani na imani yoyote ile, so more need to be done to investigate further...mleta habari tujulishe yanayojiri katika hili...please! leo ni watoto/vijana wa wengine, next time inaweza kuwa wakwetu wenyewe!
 
You simply can't get rid of sex workers. Kazi hii ihalalishwe ili iwe rahisi kui-control. Mataifa mengine yanafanyaje?

I have heard of similar things and people are really making money!Actually ninavyosikia kipindi fulani Germany wakati wa World Cup a hunge danguro was built and people really made money and when you come to think of it its a source of revenue kwa nchi kwa sababu nao wanakuwa ta payers!
I personally new one woman in Mombasa Kenya she had built herself a bungalow and a good car and the son was in an international xul!Moreover she used to advertise herself in newspapers!
After saying all that I think TZ we are not yet ready for such a business as a source of govt revenue!
 
Jamani tusiishie kulaumu na kufanya nini....nakumbuka kuna kipindi Kova wkt anasafisha mji kwa kukamata machangu aliwauliza ni kitu gani kinacho wasukuma kufanya hivyo??Walimjibu simple MAISHA MAGUMU ajira hawana hiyo ndo njia pekee ya kujipatia kipato.Je serikali hizo ajira milioni moja zimekaaje??
Kwa hiyo hawa dada zetu na wadogo zetu wanatumbukia huko kwa kutafuta kipato unaona hapo mwenye nyumba anakula 2000 na yeye anabaki na 2000 hawafanyi kwa starehe ila ni umaskini ndo unawasukuma kufanya hivyo....
 
You simply can't get rid of sex workers. Kazi hii ihalalishwe ili iwe rahisi kui-control. Mataifa mengine yanafanyaje?

.

Ukikamatwa na porn DVD or Magazine inchini Tz, utakuwa chini ya kibano cha uhakika na vyombo vya sheria kwa kuwa hairuhusiwi inchini Tz, Sasa kwa hili la kutaka hii kitu ihalalishwe nina mashaka makubwa...bado hatuko tayari..tumwache Kova afanye kazi yake kwa sasa.

Imagine you have strip joints in Dar?./.
 
Tatizo ni sisi jamii ambayo ndiyo hata inatunga na kupitisha sheria inakuwa ya kwanza kuhaini sheria... hivyo kilio cha leo tunacholia ni kilio cha mamba maana hakuna mwenye utashi wa kutokomeza sexual workers hapa nchini, na kama angekuwepo (polisi) basi biashara ingekoma kitambo. ila kingine hao madada wakikamatwa wanaenda kugawana kipato na askari (wahalifu) kisha wanarudi kuendeleza libeneke.
Kwanza tuanze na hao wanaonunua hayo mapenzi na kutoa hela ndipo turudi kwa hawa wanaotoa kavity zao kwa tujisenti ndipo mwangaza wa mafanikio utaonekana....
au la tuanze na wewe
 
Back
Top Bottom