Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

Ayaaaaaa, yani mnatusanua wakati wa kuvunjwa?! Mbona hamkusema mapema jamani.., daaa!
Enzi hizo ulikua either huna simu au bado hujaanza kudinda.
Ila pia hii ni taarifa ambayo iliwapa sana aibu uhamiaji kwa kipindi kile, si Tanzania tu. Hata nepal kwenyewe.
Taarifa ilikua batili. Wale mabinti waliingia kihalali. Na hakuna baya lolote waliwahi fanya. Zaidi mazoezi ndani ya zile nyumba. Na taarifa batili za maashushu wa bongo. Waliwakosea sana hawa mabinti.
Nakumbuka enzi zile tajiri wao yule alikua akitembelea landcruiser Mkonga, alipata gadhabu sana pale Namanga.
 
Hawa nishakutana nao kinondoni wako kwenye noah asubuhi sana. Kama saa 12 kamili walikuwa wanatoka pale kwenye ile club ya zamani karibu na toroka uje.........dizaini ndio hizo hizo ........walikuwa wanatoa rap dance za ki uchi uchi kwa madon wa jiji
 
Unatakiwa kubadili ladha, siyo kila siku unakula Kitimoto !
Ladha ya kitimoto tunabadilisha kwa kubadili upikaji broo...roast, ya kukaa ga, ya kuchemshwa tuu but ni kitimoto tuu.
Wee wadada ,etu hawa walivyo wazuri....tako tako bonge la vibration wakitembea...nikajitese na vimbaumbau vya india 🤣🤣🤣🤣
 
Danguro la Mabinti wenye asili ya kihindi na Nepal lavunjwa jijini Dar-es-salaam.

View attachment 2867405

Aisee watu ni wasiri sana, kwahyo mlikuwa mnazichakata Mbususu za Kihindi peke yenu bila hata ya kutuambia nasisi.

Madanguro yanayovunjwa na RC wa Dar ni kiduchu kwenye biashara moja kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom