Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hili neno danguro lina maana gani?
Wiki hizi mbili katika hili sakata la wanaoitwa makahaba/madada poa nimelisikia linatajwa sana ila sijajua lina maana gani.
Wale wataalamu wa lugha, magwiji na wengine wenye ufahamu tufahamisheni maana ya danguro.