Dani Alves ajitetea kuhusu Cavani.

Dani Alves ajitetea kuhusu Cavani.

Dani Alves anamambo yakijinga sana. Hata mechi ya Juve madrid fainali alileta ugomvi mkubwa tu wakati wa half time akapelekea dk 15 zote zikaisha bila malekezo kutoka kwa kocha. Sawa nakubali juve tulizidiwa kiwango na Real Madrid kipindi cha pili, Ila dani Alves nimmoja wa wachezaji hovyo sana. Wadau wasoka wasiitegemee kuiona PSG ikibeba kombe la UEFA kwa Nidhamu ya aina ile. FORZA JUVENTUS kwa kuwaondoa wachezaji wasio na Nidhamu kama Bonnuci na Dani Alves.
 
Umeongea point mr bologna.kula like
 
Back
Top Bottom