William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji.
kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa.
Toka aje simba kiwango cha makipa kinashuka kila siku. Aly Salim hakuwa hivyo. Nasikia ana maneno ya chini chini na hana uwezo wa kuunganisha ata makipa tu na sio wachezaji.
Kama kawaida rangi imembeba na Mgunda kaponzwa na Rangi yangi yake. Viongozi wanaamini washabiki watampenda sababu ni mzungu. Ila wachezaji wengi hawamuelewi na wametishwa kumgomea
Lakini mchezo huu kama wachezaji hawezi kuwaandaa kiakili basi simba lazima igongwe kila gemu atakayoongoza