Daniel Arap Moi, alikuwa rais wa Kenya aliyeingia madarakani Desemba 28, 1978 baada ya Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya kufariki.
Arap Moi amekuwa Rais wa Kenya kuanzia 1978 hadi mwaka Aprili 9, 2002 ambapo urais ulichukuliwa na Mwai Kibaki.
Mbali na Daniel kuwa Rais alikuwa mbunge tangu Desemba 5, 1963 hadi Desemba 20, 2002, hivyo alikuwa Rais na mbunge kwa kipindi chote cha urais wake.