Daniel Arap Moi alikuwa mbunge na Rais kwa wakati mmoja

Daniel Arap Moi alikuwa mbunge na Rais kwa wakati mmoja

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Daniel Arap Moi, alikuwa rais wa Kenya aliyeingia madarakani Desemba 28, 1978 baada ya Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza wa Kenya kufariki.

Arap Moi amekuwa Rais wa Kenya kuanzia 1978 hadi mwaka Aprili 9, 2002 ambapo urais ulichukuliwa na Mwai Kibaki.

Mbali na Daniel kuwa Rais alikuwa mbunge tangu Desemba 5, 1963 hadi Desemba 20, 2002, hivyo alikuwa Rais na mbunge kwa kipindi chote cha urais wake.
 
Amezikwa kwa heshima kubwa sana ambayo Hakustahili huyo, Rais pekee aliyependwa na Wakenya ni Mwai kibaki mpaka leo kenya wanamuelewa sana mzee huyu kibaki na wanamtakia maisha marefu.
 
Katiba yao ilikuwa ya kibwege,nani atamsimamia mwenzake?
 
Hata rais Mwai Kibaki pia alikuwa mbunge wa Othaya wakati wote huo ambao alikuwa rais.
 
Ilikuwa hivyo kwenye katiba ya zamani ya Kenya, rais lazima angechaguliwa kuwa mbunge kwanza..
hata kama ungelipata kura nyingi kushinda wagombea wote, halafu ushindwe eneo mbunge, haungeweza kuwa rais..
 
Back
Top Bottom