Daniel Arap Moi asks Uhuru Kenyatta to reach out Raila Odinga as soon as Possible

Unasema Raila anabahati unafikiri uhuru mjinga si anakila kitu majeshi mahakama, police lakini kaaukijua hawezi mfanya chochote raila siasa za kenya sio lelemama kihivyo ukiziangalia kwa Nje,
Uhuru sio mtu anayependa misukosuko na migongano ya kisiasa, hata wafuasi wake kwenye hili wanamuona lahini sana.

Mara kadhaa ame opt kuaccommodate issues za akina Raila kinyume na misimamo ya wenzake. Laiti Rais angekuwa William Ruto ndio ungetambua kuwa ni bahati Rais ni Uhuru.
 
Kwa nijuavyo mimi, Uhuru yupo karibu sana na Moi. Kama Moi angetaka kumwambia UK hayo maneno basi ni lazima angemwita na aongee nae physically na si kupublish au kuongea na vyombo vya habari.
Kwa ujumla, hiyo statement ni ya kutunga. Sasa sijui watunzi wana malengo gani.
 


Moi huyu ambaye juzi kwenye kupiga kura alishindwa kushuka kwenye gari ndiye kaongea maneno haya?

Hapana aisee mnamsingizia
 
Unampangogani baada ya rais wenu kupigwa tikitaka??
DuppyConqueror mimi na wewe tufanye Tz kuwa nchi ya mfano. Mambo haya ya ushabiki wa ukandamizaji haumsaidii yeyote , huwezi kujua mwanao au nduguyo atakuwa wa mrengo gani wa siasa.

Hebu itazame France, nchi kubwa kabisa ya mfano!! Ndani ya miaka12 wamebadili ma Rais (4) wanne, tena wa kutoka vyama tofauti tofauti (Miterand, Sarkozy, Hollande & na huyu dogo wa sasa). Lakini still France ni taifa kubwa na ya mfano. Mbona wewe DuppyConqueror unamuabudu mtu badala ya Tz?! . u
 
Huyo Raila na watu wa Kisumu naona wanadekezwa tu ,ingekuwa bongo magufuli angewanyoosha
 
Mkuu uko sahihi...ila sometimes hauko reasonable...nimekuwa nikikufuatilia in most cases unabebwa na upepo wa chama...kama tukiamua kuwa objective, JPM is doing a good job, compare to all his predecessors!
 
Mkuu uko sahihi...ila sometimes hauko reasonable...nimekuwa nikikufuatilia in most cases unabebwa na upepo wa chama...kama tukiamua kuwa objective, JPM is doing a good job, compare to all his predecessors!
Maghufuli nimemuunga mkono 100% katika swala la kuhamia Dodoma, kujaribu kuweka maswala ya madini sawa japo njia si sahihi sana, kuleta uwajibikaji mbele n.k.

Lakini pia nampinga 100% kwa kutaka kuhodhi siasa za nchi peke yake bila kuwasikia wapinzani wake. Kwa kulipeleka bunge gizani, kwa kukumbatia watu kama Bashite wakati waalimu na manesi waliokaribia kustaafu wakiondoshwa hata bila aheri yao!!

Kuna mambo yuko sawa na mengine yuko kichama zaidi kiasi anakuwa kama yuko kwenye campaign!!!

Ndio maana nimesema bora tuwe na katiba nzuri kama France, hata kama akija nani!! tunakuwa na uwezo wakumuondoa au kuhoji. Lakini si hii ya sasa ya zidumu fikra za mtu.
 
tell you Uhuru will heed to Mzee's advice. He will search for Raila. Lets wait and see.
Yes. Uhuru may take heed to Moi's advice, that is well and good. But it will be for the sake of 'fooling a dog' by a lump of meet while Uhuru is enjoying the noble seat ( the presidential seat).

No move can can be made to unseat Uhuru. He is smarter and trickier than RAO. Mark my words buddy.
 
My friend, have you ever heard about fake news?
It does not sound like Moi at all.

Hiyo statement ameitolea wapi?
 

Reaching out to Raila will be at the utmost diplomatic. No power sharing and no "nusu mkate," of course. Even Raila is not interested in "Nusu Mkate." He has made his point through all that have as transpired so far. For peace and the tranquil of their nation, that is what responsible statesmen would do. They shall come together and bury their differences. We have seen it in sports. Let us hope for the best while other people are calling it "fake news."
 
Kwani ni migogoro mingapi Kenya imepitia na ikamalizwa ndani ya Kenya?ni uchaguzi wa 2007 tu ndio suluhisho lilitoka nje.

Mwaka 1997 Kenneth Matiba pia alijitoa kama alivyofanya Odinga na Rais Moi akaimaliza mwenyewe bila kumpigia magoti Matiba.
lol Ken Matiba na alikua na wafuasi lukuki na baada ya kujitoa kugombea 1997 ndio kikawa kifo chake kisiasa...
 
Huwa ni waajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…