Sicho ulichosema hapa, historia.zamani hizi ni tofauti na zile za miaka 20 iliyopita.
watu wana mtazamo uliobadirika.
historia inasema migogoro na migongano ya Kenya huwa haipati suluhu toka ndani ya Kenya bali nje ya mipaka ya Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sicho ulichosema hapa, historia.zamani hizi ni tofauti na zile za miaka 20 iliyopita.
watu wana mtazamo uliobadirika.
historia inasema migogoro na migongano ya Kenya huwa haipati suluhu toka ndani ya Kenya bali nje ya mipaka ya Kenya.
Uhuru sio mtu anayependa misukosuko na migongano ya kisiasa, hata wafuasi wake kwenye hili wanamuona lahini sana.Unasema Raila anabahati unafikiri uhuru mjinga si anakila kitu majeshi mahakama, police lakini kaaukijua hawezi mfanya chochote raila siasa za kenya sio lelemama kihivyo ukiziangalia kwa Nje,
Naona umerudi kwenye siasa za nyumbani...safi sanaMoi madaraka yanalevya kama mvinyo. Na hakika Uhuru hatataka kujishusha!!! Hii ni Africa democracy ni kitendawili
Nawe kwenu wapi?! Yaonekana huna kwenu [emoji40] [emoji23]Naona umerudi kwenye siasa za nyumbani...safi sana
Baki hukohuko kwenye siasa za maji-takaNawe kwenu wapi?! Yaonekana huna kwenu [emoji40] [emoji23]
Kwani we mama yako alikudokezea kwenu ni wapi?! Sisi tuko Tarime/Rorya [emoji12]Baki hukohuko kwenye siasa za maji-taka
Unampangogani baada ya rais wenu kupigwa tikitaka??Kwani we mama yako alikudokezea kwenu ni wapi?! Sisi tuko Tarime/Rorya [emoji12]
DuppyConqueror mimi na wewe tufanye Tz kuwa nchi ya mfano. Mambo haya ya ushabiki wa ukandamizaji haumsaidii yeyote , huwezi kujua mwanao au nduguyo atakuwa wa mrengo gani wa siasa.Unampangogani baada ya rais wenu kupigwa tikitaka??
Mkuu uko sahihi...ila sometimes hauko reasonable...nimekuwa nikikufuatilia in most cases unabebwa na upepo wa chama...kama tukiamua kuwa objective, JPM is doing a good job, compare to all his predecessors!DuppyConqueror mimi na wewe tufanye Tz kuwa nchi ya mfano. Mambo haya ya ushabiki wa ukandamizaji haumsaidii yeyote , huwezi kujua mwanao au nduguyo atakuwa wa mrengo gani wa siasa.
Hebu itazame France, nchi kubwa kabisa ya mfano!! Ndani ya miaka12 wamebadili ma Rais (4) wanne, tena wa kutoka vyama tofauti tofauti (Miterand, Sarkozy, Hollande & na huyu dogo wa sasa). Lakini still France ni taifa kubwa na ya mfano. Mbona wewe DuppyConqueror unamuabudu mtu badala ya Tz?! . u
Maghufuli nimemuunga mkono 100% katika swala la kuhamia Dodoma, kujaribu kuweka maswala ya madini sawa japo njia si sahihi sana, kuleta uwajibikaji mbele n.k.Mkuu uko sahihi...ila sometimes hauko reasonable...nimekuwa nikikufuatilia in most cases unabebwa na upepo wa chama...kama tukiamua kuwa objective, JPM is doing a good job, compare to all his predecessors!
Yes. Uhuru may take heed to Moi's advice, that is well and good. But it will be for the sake of 'fooling a dog' by a lump of meet while Uhuru is enjoying the noble seat ( the presidential seat).tell you Uhuru will heed to Mzee's advice. He will search for Raila. Lets wait and see.
My friend, have you ever heard about fake news?Peace is peace friend. That is a rare advice from an accomplished politician. People will never know why Mzee Jomo Kenyatta bypassed his Kikuyu cabal and told Moi to rush to the State House in Nairobi and relinquish power; as he contemplated his passing on. It is Moi who turned Kenyatta from a businessman into a politician and eventually a statesman. After his electoral victory in the last elections, Uhuru Kenyatta paid a courtesy visit to Moi. That was the best thing he did to Mzee Moi. We may never know what Mzee Jomo Kenyatta actually whispered to Moi in addition to whatever that he told him that we all know. May be he told him: "Take care of my boy Uhuru." This is what Mzee Moi is doing now. I tell you Uhuru will heed to Mzee's advice. He will search for Raila. Lets wait and see.
It does not sound like Moi at all.
Hiyo statement ameitolea wapi?
Yes. Uhuru may take heed to Moi's advice, that is well and good. But it will be for the sake of 'fooling a dog' by a lump of meet while Uhuru is enjoying the noble seat ( the presidential seat).
No move can can be made to unseat Uhuru. He is smarter and trickier than RAO. Mark my words buddy.
lol Ken Matiba na alikua na wafuasi lukuki na baada ya kujitoa kugombea 1997 ndio kikawa kifo chake kisiasa...Kwani ni migogoro mingapi Kenya imepitia na ikamalizwa ndani ya Kenya?ni uchaguzi wa 2007 tu ndio suluhisho lilitoka nje.
Mwaka 1997 Kenneth Matiba pia alijitoa kama alivyofanya Odinga na Rais Moi akaimaliza mwenyewe bila kumpigia magoti Matiba.
Huwa ni waajabu sanaDuppyConqueror mimi na wewe tufanye Tz kuwa nchi ya mfano. Mambo haya ya ushabiki wa ukandamizaji haumsaidii yeyote , huwezi kujua mwanao au nduguyo atakuwa wa mrengo gani wa siasa.
Hebu itazame France, nchi kubwa kabisa ya mfano!! Ndani ya miaka12 wamebadili ma Rais (4) wanne, tena wa kutoka vyama tofauti tofauti (Miterand, Sarkozy, Hollande & na huyu dogo wa sasa). Lakini still France ni taifa kubwa na ya mfano. Mbona wewe DuppyConqueror unamuabudu mtu badala ya Tz?! . u