William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Mechi tatu mfululizo kafungwa magoli yanayofanana ya kutemea mpira ndani ya box, anatoka golini bila mpangilio na anacheza cross bila timing wangemtoa kwa mkopo.Huyo ally salim hakuna kioa tu mule, mpira wa kudaka unamtoka, mahesabu yake mabovu moira wa kudaka anafosi kuupiga ngumi(al ahly nyumbani hapa) game na namungo mpira wa krosi anafuta hewa, hazizidi game 3 ambazo jamaa hajafanya makosa binafsi.
Walitumia kigezo gani kumpata huyu Cadena ?Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa.
Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika.
Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na wanashindwa kufikia malengo kabisa.
Ally Salum kawa mbovu sana kupitia huyu bwana aisee. Azam ilisajili makipa bora sana lakini cadena aliwaaribu kabisa.
Kufundisha kipa sio kuruka tu, kuna footwork, position, right time,
Kama Atasimamia mechi ya Asec Simba itapotea. Na hakuna kocha wa kuja kuandaa timu asiyoijua kwa wiki moja. Mgunda apewe iyo gemu moja tu. Ni mechi muhimu sana Jamani.
Sahihi kabisa, ukimtizama tu ana makosa mengi mnoo yaani ni kama kipa amateur vile... Huyu hafai kuwa hata kwenye benchi la simba., uwezo ni mdogo mnooMechi tatu mfululizo kafungwa magoli yanayofanana ya kutemea mpira ndani ya box, anatoka golini bila mpangilio na anacheza cross bila timing wangemtoa kwa mkopo.
Wewe unaujua mpira yule kipa ni mbovu kupita kiasi hana hadhi hata ya Simba SC B, Ayoub kafanyiwa figusu mbaya hadi sasa yupo kama kopoHuyo ally salim hakuna kioa tu mule, mpira wa kudaka unamtoka, mahesabu yake mabovu moira wa kudaka anafosi kuupiga ngumi(al ahly nyumbani hapa) game na namungo mpira wa krosi anafuta hewa, hazizidi game 3 ambazo jamaa hajafanya makosa binafsi.
Mpira wetu hauendelei sababu ya figisu, yule ally salim hamfikii ayoub lakreb hata kidogo.Wewe unaujua mpira yule kipa ni mbovu kupita kiasi hana hadhi hata ya Simba SC B, Ayoub kafanyiwa figusu mbaya hadi sasa yupo kama kopo
Nakubali, hakupa kipa pale.Huyo ally salim hakuna kioa tu mule, mpira wa kudaka unamtoka, mahesabu yake mabovu moira wa kudaka anafosi kuupiga ngumi(al ahly nyumbani hapa) game na namungo mpira wa krosi anafuta hewa, hazizidi game 3 ambazo jamaa hajafanya makosa binafsi.
Na figisu wanazofanya Kwa Ayoub manaake ni kipa wa mchongo tuamini hivyo kiasi kwamba hizo ni dharau na comedy kweye brand ya Simba SCMpira wetu hauendelei sababu ya figisu, yule ally salim hamfikii ayoub lakreb hata kidogo.
Haiwezekani kipa msimu uliopita kakiwasha pale fa rabat, leo hii awe mbovu kwa ally salim ni ujinga usiokubalika.Na figisu wanazofanya Kwa Ayoub manaake ni kipa wa mchongo tuamini hivyo kiasi kwamba hizo ni dharau na comedy kweye brand ya Simba SC
Sijui record yake ila namkubali sana Ayoub, so kumbe aliupiga FAR RabartHaiwezekani kipa msimu uliopita kakiwasha pale fa rabat, leo hii awe mbovu kwa ally salim ni ujinga usiokubalika.
Game nyingi za far rabat msimu uliopita ye alikuwa golini, kama sikosei kacheza mpaka berkane ile iliyokua nchini hapa.Sijui record yake ila namkubali sana Ayoub, so kumbe aliupiga FAR Rabart
Ayoub CV yake ni kubwa sana Simba SC tunafanya upumbavu nimecheki CV yake Ayoub ni senior player wa kumuamini 100%Game nyingi za far rabat msimu uliopita ye alikuwa golini, kama sikosei kacheza mpaka berkane ile iliyokua nchini hapa.
Mpira wetu bongo hauendelei sababu ya figisu figisu zetuAyoub CV yake ni kubwa sana Simba SC tunafanya upumbavu nimecheki CV yake Ayoub ni senior player wa kumuamini 100%
Mo anapenda matokeo mabovu ili aabudiwe na umuhimu wake uonekane, bila mo kuwa na uhakika wa kuiendesha Simba SC itakuwa hivi tunaenda mbele hatu4 tunarudia nyuma hatua 10 hadi pale mabadiriko mchakato wake ukamilike, hawezi kuiacha Simba SC imara then asepe, ataiacha Simba SC ukiwa mbovuMpira wetu bongo hauendelei sababu ya figisu figisu zetu
Ubovu wake umetokana na Kocha wake. Ally Salumu hakuwa wa kutemea mpira ndani. Bora kocha wake awe Aishi ManulaHuyo ally salim hakuna kioa tu mule, mpira wa kudaka unamtoka, mahesabu yake mabovu moira wa kudaka anafosi kuupiga ngumi(al ahly nyumbani hapa) game na namungo mpira wa krosi anafuta hewa, hazizidi game 3 ambazo jamaa hajafanya makosa binafsi.