Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia harufu ya roho mbaya hapa!!Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa.
Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika.
Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na wanashindwa kufikia malengo kabisa.
Ally Salum kawa mbovu sana kupitia huyu bwana aisee. Azam ilisajili makipa bora sana lakini cadena aliwaaribu kabisa.
Kufundisha kipa sio kuruka tu, kuna footwork, position, right time,
Kama Atasimamia mechi ya Asec Simba itapotea. Na hakuna kocha wa kuja kuandaa timu asiyoijua kwa wiki moja. Mgunda apewe iyo gemu moja tu. Ni mechi muhimu sana Jamani.
Nazungumzia ubora wa makipa toka atue Simba. Ni hivyo tuUna Shauri Vipi Shabiki Yetu??Tumtimue na Yeye kupooza Machungu au??
Ni ujinga tu!! Hakuna chochote cha ajabu kufungwa goli 5!! Man U, Arsenal, Real Madrid, Barcelona, Liverpool, Man city, Yanga na wengineo pia walishawahi kupata kipigo kama hicho na zaidi ya hicho lakini maisha yaliendelea!!Zile goli tano zimetufanya simba tumepoteana km kuku waliokatwa vichwa
Mkuu makaveli10 Salam.Game nyingi za far rabat msimu uliopita ye alikuwa golini, kama sikosei kacheza mpaka berkane ile iliyokua nchini hapa.
Kwa Ayub kufanyiwa Figisu, mnamsingizia Ally wa watu.Wewe unaujua mpira yule kipa ni mbovu kupita kiasi hana hadhi hata ya Simba SC B, Ayoub kafanyiwa figusu mbaya hadi sasa yupo kama kopo
Ni ujinga tu!! Hakuna chochote cha ajabu kufungwa goli 5!! Man U, Arsenal, Real Madrid, Barcelona, Liverpool, Man city, Yanga na wengineo pia walishawahi kupata kipigo kama hicho na zaidi ya hicho lakini maisha yaliendelea!!
Sababu ni mzunguWalitumia kigezo gani kumpata huyu Cadena ?
Kama yuke mkuu wa scouting