Daniel Chongolo awa Katibu Mkuu CCM

Kutanguliza maccm badala ya Nchi ni makosa makubwa sana na itaendelea kuigharimu sana Tanzania kwa miaka mingi ijayo.
Realistically, Samia hana option nyingine ila kuweka chama mbele ama sivyo watamtema! Kule ccm hana budi kuwa beneti na Mangulla asikubali aondoke haraka haraka kabla hajakisoma chama vizuri; watamkorofisha!
Give her the benefit of doubt !
 
yaani konda boy kila sehemu huwa amenyea kambi...., kwa VP mpango alinyeaga kambi wakati anamkoromea inshu ya makontena yake bandarini kodi..., haya huku tena kwa SG Chogolo alishamkoromeaga....kwa PM Maja pia alishanyeaga kambi....
Orodha ni ndefu sana, hata waliompa ifadhi wakati amefukuzwa shule baada ya kuwa RC alikuwa hapokei simu zao.
 
Petty issues
 
Zambia na Zimbabwe kuna vivuli vya uchaguzi tu. Ni udikteta mtupu.
 
Ni jambo jema.

Sasa Halima James Mdee wakati wowote atachukua kadi ya CCM!
Lazaro Nyalandu, kada wa Kamati kuu Chadema kestia timu CCM, na vile vile Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini naye amesepa
 
CCM ya zamani wanawajua wote walio wa kwao, ya Mwendazake ndio ilikuwa ikichukia watu huku na kule kuwaleta chamani. Leo tuko na raha tele!
yaaa,
Jamaa ni silent operator, ndio sababu watu wanadhani ni mgeni kule CCM. Hawajui kwamba ndie aliekuwa mkurugenzi wa media za CCM, redio na magazeti na yuko chamani kitambo sana
Halafu huyu jamaa anakipenda chama balaa,mimi mwenyewe nilikuwa sijui kana ana nafasi gani chamani.Ila nakumbuka siku moja mke wake alilazwa kwa ajili ya kujifungua yeye akiwa kwenye shughuli za chama huko Shinyanga,alivyotaarifiwa kuwa mkeo amelazwa,alimuomba bro ake mmoja aendelee na hilo yeye alisema mpaka amalize shughuli za chama kule ndiyo anaweza rejea.nakumbuka ilikiwa ni kipindi kile Mzee Lowasa anakimbiza show ya uchaguzi dhidi ya Mwendazake.Kila mtu alimshangaa Daniel.
 
Siku hizi makatibu wakuu wa vyama mbona CV zao hazitishi sana??
 
Achana naye huyu YEHODAYA. Ukifuatilia comments zake humu utagundua ni Mtu aliye panic sana, nahisi Ni mmoja wa waliokuwa wanategemea hiyo nafasi na kama sio yeye basi alitegemea atateuliwa mmoja katika Timu yake.

KAJAA WIVU BALAA
Nina wasiwasi isije ikawa ni bashite maanake inaonekana kamaind big time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…