ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.huyo mzee sijawahi kumuelewa hata siku amezeeka kiasi kwamba huwa anasahau hata nini ameongea yupo kama mzee mwinyi
mke wake nae ni hbr za israel tu kwa kwenda mbele yaani full majanga
hapo huwa nachoka kbs yaani wamama huwambii kitu utaitwa shetaniMke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.
Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao [emoji23][emoji23]
Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Mpaka bodaboda walianza kuwa na hiyo tabia kiasi kwamba unamkuta kafunga kibendera cha Israel na chumvi yake mfukonihapo huwa nachoka kbs yaani wamama huwambii kitu utaitwa shetani
Anaitwa Daniel Eliezer LemaHuyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.Nasikia Sasa hivi amekuwa mzee Sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
Wale unakuta wameandaliwa kuigiza ili muaminiπKuna watu wanapona na kufunguliwa hapo safina, mbona hamuongelei hayo?
We dini gani?Wale unakuta wameandaliwa kuigiza ili muamini[emoji1]
Dunia uwanja wa fujo
Mkristo jinaWe dini gani?
Lukas.Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Siendagi kabisa hukoMke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.
Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao ππ
Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
πππMpaka bodaboda walianza kuwa na hiyo tabia kiasi kwamba unamkuta kafunga kibendera cha Israel na chumvi yake mfukoni
Lema, anasauti ya simbaHivi ni Daniel limo au Daniel lema?
Jamaa wako vizuri katika kukusanya kile kidogo cha waumini [emoji4]