Daniel Lema wa Safina redio

Daniel Lema wa Safina redio

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.

Nasikia sasa hivi amekuwa mzee sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
 
huyo mzee sijawahi kumuelewa hata siku amezeeka kiasi kwamba huwa anasahau hata nini ameongea yupo kama mzee mwinyi

mke wake nae ni hbr za israel tu kwa kwenda mbele yaani full majanga
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao 😂😂

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao [emoji23][emoji23]

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
hapo huwa nachoka kbs yaani wamama huwambii kitu utaitwa shetani
 
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.Nasikia Sasa hivi amekuwa mzee Sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
Anaitwa Daniel Eliezer Lema
 
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
 
Lukas.
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao 😂😂

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Siendagi kabisa huko
 
Back
Top Bottom