jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 192
hivi hizi cd zinapatikana wapi?kanunue CD ya hiyo series acha vya bure....
hizi cd ni wizi mtupu,.unakuta kila series ina episode 2hivi hizi cd zinapatikana wapi?
hahahaSijui kama ni jukwaa sahihi au lah!Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo.