Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
HIi ilikuwa kesi iliyofunguliwa na Wakili Msomi Alphonce Lusako kwenye Mahakama kuu kanda ya Mbeya
Pamoja na hoja kabambe zilizotolewa na upande wa waleta maombi lakini Danstun Ndunguru akaamua kufumba macho na kuruhusu ufisadi ule wa kutisha
Ndiye anayeongoza jopo la Majaji kwenye kesi ya uongo aliyobambikiwa Tundu Lissu
Aangaliwe kwa Makini