Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587

Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
 
Hajui kutumia fursa huyu mdada! Ana uswahiliswahili sana vinginevyo kuwa na Mondi ni fursa tosha kutoka kimaisha ila yeye hakujua kuitumia akaishia kwenye mipasho ya kijinga. Mwenzake Zari kajimilikisha tena yeye kabaki na uswahili wake
 
Huku kudhalilishana sasa duh!
 
Ha ha haaaaa
Safi sana

Hiyo michepuko inafikiri kila kitu inaweza kuingilia.. nilijua hili litakuja.. akili sifuri kisa alifikiri utajiri unaambukizwa kupitia ngono.. eeeeh

Tarehe 30 Inawadia ni kesho kutwa.
Mnitag sitaki kupitwa na udaku wa star mpenda kupaoaswa bila kujionea aibu. Aliniuzi sana kumpamba misa siku aliongea Clouds.. ila misa akisubiri kesi imembidi aende Nairobi kupimbishwa na visichana virafiki vyake alivyokugana navyo Insta.. wanamtumia kama gari bovu kupata pesa huku yeye anatumia mwili wake.. jingwa kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…