mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mimi nawaza Samia ametoa wapi roho ya kuua raia pasipo na huruma hata kidogoJe wewe unaesoma uzi huu unadhani dakika za mwisho za mzee ali mohamed kibao zilikuwaje? Tujaribu kuvaa viatu vyake na kumuombea pumziko la milele shujaa yule.
Ampe zaidi ya Raha ya mileleRaha ya milele umpe Ee Bwana...
Kinacho kuchekesha ni nini?Utawafanya nini? Maana kama ungekuwa na uwezo wa kuwafanya chochote ungeliishawafanya. Zaidi unatamba tu nyuma ya keyboard! Ahahahahaha!!!
Hii serikali dhalimu imeshafanya yake
Dah watu wako na taarifaKwenye tukio la utekaji kilvya kule twitter kuna mmoja anasema kati ya wale watu mmoja yupo kituo cha polisi ununio.
Dah watu wako na taarifa
Watakua wanakuja usiku, siamini hizi ishu watapiga tena mchana
CHADEMA HAKUNAGA KITU WANAANZISHAGA KIKAFIKA MWISHO WAKAPATA SURUHISHO NEVER HII ISHATOKA TENA WATU WANASAHAUHii nayo itapita tu
Hivi bus alikuwa na cctv kamera..Kinachoshangaza waziri ww mambo ya ndani bado anapelekea suti laundry mashine akafuliwe
Ulitaka wafanyaje.. wanamiliki jeshi au vyombo vya usalama?!CHADEMA HAKUNAGA KITU WANAANZISHAGA KIKAFIKA MWISHO WAKAPATA SURUHISHO NEVER HII ISHATOKA TENA WATU WANASAHAU
Mkuu unadhani wenye shida ni CCM au CHADEMA? Hivyo ni vyama tu. Vitapita.CHADEMA HAKUNAGA KITU WANAANZISHAGA KIKAFIKA MWISHO WAKAPATA SURUHISHO NEVER HII ISHATOKA TENA WATU WANASAHAU
Abiria wote waligoma kutoa ushahidi pia, wakaishia kusema "Tunamuachie Mungu". Kwa hiyo kesi ngumuUchunguzi umefikia wapi? Nchi ina habar nyingine usikute ilinipita.