Dar - amongst world's dirtiest cities

Rais Kikwete ameagiza flyovers !Sio wazo baya,lakini tunatakiwa tuanze upya kabisa jijini.

-UDA ilikuwa sio mbaya tatizo kubwa kama another SU ni kwamba serikali haitakiwa kuendesha biashara.serikali inatakiwa kuphase out daladala kwa nguvu moj.itoe leseni kwa kampuni say 3 au 4 tu jijini kuendesha transport.Suala la kila mtu kuweka gari barabarani bongo,limepitwa na wakati.Huwezi kufika jiji la london ukakuta mtu anataka kuweka daladala barabarani eti kwa sababu ana pesa.halafu wajep wametumia nchi yetu kudamp second hand cars ,CO2 kibao,angalia asthma kwenye jiji la dar!!!

-Kuna Wana JF wamezungumzia congestion charge.ni kweli kabisa itapunguza kila mtu kuingia eneo la jiji na gari yake.

-Je tuna viongozi jijini wenye akili za maendeleo? Sidhani.Kama Temeke hospital wa akina mama wanalala chini,sidhani kama tunaweza hizi projects.
 
Campaign to 'clean up Dar es Salaam' coming

By The guardian reporter
6th February 2010


Minister of State in the Vice-President`s Office (Environment) Dr Batilda Buriani

The government has announced a six-month campaign dubbed ‘Clean up Dar es Salaam’ to ensure a dirt-free city, the House was told yesterday.

Minister of State in the Vice-President’s Office (Environment) Dr Batilda Buriani said the campaign would be implemented by Ilala, Kinondoni and Temeke districts under the supervision of the Regional Commissioner’s office.

Dr Buriani stressed that the campaign, which would start soon, was funded by the United Nations Environment Programme (UNEP).
He admitted that there were difficulties in controlling environmental degradation in Dar es Salaam city.

She said the government had started to implement a programme that ensured cleanliness in all passenger vehicles under supervision of the National Environment Management Council (NEMC) and the Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA).

She said passenger buses had already started to implement the programme while some commuter buses had also started fixing dustbins in their vehicles.

She was responding to a supplementary question from Anna Chaurembo (CUF), who wanted to know government efforts to keep Dar es Salaam city clead.

SOURCE:
THE GUARDIAN
 
Nakubali. Tuna matatizo.

Tunahitaji kuwepo Rapid Transit System jijini na vitongoji vyake. Well, RTS imeshakuwa kama wimbo, manake kila mtu anajua hilo. Sasa kwanini halitekelezeki? Au tunamngojea 'Bonge' aseme ndio viongozi wa kitaifa wakurupuke na kulifanyia kazi?!! It's sad. Nafikiri tatizo la msingi ni kwamba kuna mporomoko wa maadili mkubwa sana kwa viongozi wetu. Hatima yake watanzania tumekuwa tukionekana kama hatuna kiu ya maendeleo; kibaya zaidi inaonekana tumekubaliana na matatizo yetu na kuyaona ya kawaida. Viongozi wetu hawako accountable kwa mwananchi zaidi ya matumbo yao.

Kinachosikitisha zaidi asilimia kubwa ya viongozi wetu watanzania sio wazalendo. Hawa ni wale viongozi wanaoweka maslahi yao mbele kiasi kwamba hawafikirii jinsi gani ya kumwezesha mtanzania wala nchi kwa ujumla. Mbaya zaidi, viongozi wetu wamekuwa ma-entrepreneur! Wanamiliki madaladala na vipanya kiasi kwamba inapofikia issue ya ku-monopolize hiyo huduma wanaipiga danadana. Mfano, kuna mradi wa UDA ambao ilikuwa uwe revived lkn mh. Waziri na wenzie wakaubania...(Mh. anamiliki midaladala kibao--dar nzima inajua).

Tatizo jingine ni kwamba tunazidi kung'anng'ania infrasture ambazo haziwezi tena kukidhi mahitaji ya population yetu. Population yetu ni vibrant, sio static. Movement ziko nyingi in such a way watu wana-hussle day and night wakiendeleza uchumi.

Uliona wapi ulimwenguni barabara toka mji mkuu, in our case Dar kwenda mikoani inategemea barabara moja...Morogoro Rd, Kilwa Rd, Al Hassan Mwinyi being the culprit? Worse, hizo hizo barabara tunazotegemea zote ni za njia moja? Hakuna kipaumbele juu ya ujenzi wa Feeder Roads.Hakuna kiongozi anayethamini maisha ya mtanzania in such a way that hata hizo barabara fake zikishajengwa, basi tuweke utaratibu wa kufunika mitaro (drainage systems)!

Kinachosikitisha zaidi, viongozi wetu wa kitaifa wana-exposure ya kutosha juu ya mifumo ya barabara za wenzetu; lakini hakuna hata mmoja anayediriki kufanya hata hiyo simple 'copy and paste' technology. Kila kukicha kama nchi tuna-experience ajali zisizokuwa na kichwa wala miguu...hakuna ubunifu wala mtu anayejali...haiwezekani gari inayokwenda, say Morogoro inapishana na gari inayorudi toka Morogoro kwenye kinjia kimoja kilichotenganishwa na rangi ya njano/ nyeupe pasipo kuwepo na uwezekano wa kutokea ajali. Hakuna anayejali...na mara ajali ikishatokea, hao hao viongozi wa kiserikali ndio wa kwanza kusema, oh.. madereva hawako makini, wanaendesha ovyo wakati wao viongozi ndio wazembe wa kufikiria....kwani hawakufikiria athari za kanjia kamoja kwenye highway/ expressway.

At the same time, Serikali haiwawezeshi watu wanaoishi karibu na hizo highways. Hakuna mpango wa kuweka traffic lights, au kujenga overpass/ underpass bridges. Matokeo yake wanategemea madereva waji-control wenyewe kwa kupeana hisani/ right of the way. Madereva wengine wana-take risk na bahati mbaya matokeo yake ni ajali. Serikali wala haijali. Haijali kwamba ajali hizo zinatu-cost kama taifa. Tunapoteza maisha ya watu. Tunapoteza raslimali ambazo taifa liliwekeza all-along kwa huyo mtu na sasa marehemu.

Tunapoteza, tunapoteza, tunapoteza na hakuna anayejali. Kama asemavyo Hidaya kwenye Raia Mwema "kwamba wanachojali viongozi wetu wengi ni Elections".
 
Andre,
Hao/hawa jamaa(Viongozi) hawajali uchaguzi, wanachojali hasa ni matumbo yao na ya watoto wao.Baada ya hapo wameshafunga duka tohell with mkulima au mfanya kazi. kama ulivyogusia Mchukulie Mkapa/Kikwete hawa waheshimiwa waliozea katika wazara ya mambo ya nje hivyo kusafiri kwao ilikuwa jambo la kawaida na katika wadhifa wa Raisi safari hazipungui, hivyo wasichosoma darasani wangesoma kwa kuona na wakaiga vinavyostahili kuigizwa japo kwa kiwango kidogo! Na hilo linaenda kwa viongozi takriban wote Ubunifu mkuu walionao ni vipi watamuhujumu Mtanzania na Tanzania, usoni hawana haya wala aibu na nyoyoni hawana huruma wala imani. Sheria wamejiuzia nchi haina hata Mfumo mmoja unaofaanya kazi sawasawa, kuanzia Rais na ofisi yake mpaka Dereva na kondakta wake, si wanasiasa si wataalamu wote Shaghalabaghala!. Na kinachosikitisha ni kuwa hakuna anaetaka kusikia kuwa mfumo haupo au uliopo haufanyi kazi ni lazima ufanyiwe marekebisho tukianza na KATIBA YA NCHI.
Baada ya kusema hayo naona wakati umefika kwa JF kuwa na "ACTION GROUP" ili kujaribu kukabiliana na baadhi matatizo kwa vitendo. Kwa wale mliotanguli kujiunga na kuchangia mawazo kila uchao mniwie radhi in advance ikiwa ninakosea, lakini tumekuwa wazungumzaji na watoa lawama, au Wafagiliaji wa kambi A na Wapondaji wa Kambi B, Wakati ukweli wa mambo ni kuwa Kambi zote hizo zimeoza zinakwenda kwa amri ya Mungu tu.Matatizo ya UFISADI,RUSHWA,UBADHIRIFU WA MALI ZA TAIFA,UONGOZI MBAYA/MBOVU,UTUMIAJI MBAYA WA MADARAKA na mengine mengi ni baadhi ya mambo ambayo "ACTION GROUP"Ingeweza kukabiliana nayo Kwa kutumia Vyombo na Taasisi za ndani na nje ya Nchi. Kwa mfano hili la marekebisho ya Katiba au viongozi waliojitajirisha kwa kuliibia taifa au uvunjaji wa sheri wowote ambao serekali innaufumbia macho; "ACTION GROUP" Ilipeleke swala hilo katika taasisi za nchi zinazohusika na ikiwa zitakataa kulipokea au zitapuuza basi lipelekwe katika taasisi za kimataifa. Ni jambo litakalohitaji Wakati na Moyo mkuu wa kujitolea na bila shaka fedha za uendeshaji pia zitahitajika, ningependa kusikia hoja zenu: MZEE MWANAKIJIJI, REV KISHOKA, BUBU ATAKA KUSEMA, FIELDMASHER, ELNINO,MWIBA,GAME THEORY,COMPANERO,JUJUMAN,LOLE GWAKISA na wote ambao majina yenu sikuweza kuyataja kwa leo.
 


Unajua how much does it cost to buy 1 london bus or anything similar?
Unajua how many buses needed for DSM?
Unajua how much does it cost to run one bus for 18 hrs,sometimes with 1/2 passengers from kimara to posta?(they have to run according to time not according to how many psngers carried)
Do u have roads suitable for those buses?

HUWEZI KUONDOA DALADALA MPAKA UWE NA MAJIBU MAZURI YA HAYO MASWALI.
 
Barabara za kawaida tu zilivyojengwa ni kiufisadi sasa hizo za juu si ndio zitapolomoka hata mwezi haujaisha!!! subirini majanga tu!!! Mungu atusaidie waja wake jamni
 
kwa asilimia kubwa si ukweli.Maji yanahusika nini na matakataka yanayotupwa mitaani? Tatizo letu watanzania tuna asili ya uchafu(ni tabia yetu)


Sikubaliani na wewe charity kuwa waTanzania tuna asili ya uchafu, nadhani ni asili ya watu wa aina flani huko Dar. Mbona miji mingine isiwe na uchafu wa aina hii? Na si swala la wingi wa watu.

Hao viongozi wa manispaa za Dar waende kutembelea uongozi wa Manispaa ya Moshi wapate vidokezo.
 
We Want Flyovers, Glass buildings and every car must have a fire extinguisher! What about picking up garbage to make our city clean?

The few, The Proud Dar Es Salaamians!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…