Rais Kikwete ameagiza flyovers !Sio wazo baya,lakini tunatakiwa tuanze upya kabisa jijini.
-UDA ilikuwa sio mbaya tatizo kubwa kama another SU ni kwamba serikali haitakiwa kuendesha biashara.serikali inatakiwa kuphase out daladala kwa nguvu moj.itoe leseni kwa kampuni say 3 au 4 tu jijini kuendesha transport.Suala la kila mtu kuweka gari barabarani bongo,limepitwa na wakati.Huwezi kufika jiji la london ukakuta mtu anataka kuweka daladala barabarani eti kwa sababu ana pesa.halafu wajep wametumia nchi yetu kudamp second hand cars ,CO2 kibao,angalia asthma kwenye jiji la dar!!!
-Kuna Wana JF wamezungumzia congestion charge.ni kweli kabisa itapunguza kila mtu kuingia eneo la jiji na gari yake.
-Je tuna viongozi jijini wenye akili za maendeleo? Sidhani.Kama Temeke hospital wa akina mama wanalala chini,sidhani kama tunaweza hizi projects.