Dar Boxing Derby

Albaab

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
1,555
Reaction score
2,216
Pambano la sita 'super heavy weight' kati ya Hafidh Mlawa na Emmanuel Philimon lilikuwa kali sana!!!

Ila kitendo alichokifanya bwana Emmanuel baada ya pambano kumalizika ni kibaya sana, dharau kubwa, ni cha kukemewa na BFT pamoja na wadau wote wa mchezo wa ndondi/masumbwi Tanzania.

Pole sana bwana Philimon πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…