Uchaguzi 2020 Dar: CCM yapata aibu kubwa TPDC Mikocheni

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,281
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000

Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.

Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
 
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.

Wewe ulichoshuhudia ni nyumba hadi nyumba - kitanda hadi kitanda!
 
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.

Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.

Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Tulia kunywa maji kisha andika ujumbe wako.

Unakurupuka sana
 
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.

Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.

Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Picha mkuu
 
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000

Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.

Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Mkuu ccm imekwisha , amebaki Sirro tu
 
Picha au video iko wapi?
 
meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!
 
Back
Top Bottom