Mkuu tupia angalao kapicha tuzidi kufurahia 🤣CCM hoyee
Wewe ulichoshuhudia ni nyumba hadi nyumba - kitanda hadi kitanda!Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.
Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.
Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Tulia kunywa maji kisha andika ujumbe wako.Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.
Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.
Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Picha mkuuKati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na nyomi is your ya kawaida.
Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.
Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Hao watu 6 walilazimishwa kuzima simuPicha mkuu
Hehehee kuepuka aibuHao watu 6 walilazimishwa kuzima simu
Chai.Hao watu 6 walilazimishwa kuzima simu
Nilijua wana hali Mbaya hahaaTuliambiwa tuzime simu
Mkuu ccm imekwisha , amebaki Sirro tuKati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000
Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila kukosa kwenye kikao wa serikali za mitaa ambayo ingefanyika hapo TPDC. Cha kushangaza licha ya kuwepo kwa viongozi wa wilaya, ni watu 6 tu walijitokeza. Wengine walidaii kwamba watakuja ipo kuna wasanii.
Hao watu sita waliomba kumpigia kura Diwali wa CCM, Gwajima na Magufuli
Picha au video iko wapi?Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000